Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Huyo hapo
1685130429522.jpg
 
Watu wansema sijui ita maliasili sijui nini, lakini ukikutana na nyoka ua tu. Huo muda wewe unaita maliasili joka linakula kona, alafu keshokutwa linakutana na mwanao huko shambani linamkwida na kumeza 'laivu'. Ua tu.
 
Back
Top Bottom