Sio tu Arsenal hata Liverpool nao shida ipo. Hizi timu ukiziangalia kwa jicho ambalo sio la kiushabiki utaona zina tatizo mbele kwenye nafasi za ushambuliaji. Ekitike kucheza 9 hapana aisee. Shukrani wamempata Isak.. Florian Wirtz bei yake pamoja na anachokitoa ni contrary. Ni kama pace na...
Ingawaje bado ni mapema sana kutoa hukumu na tuna wachezaji wapya ambao bado wanahitaji muda.. Ila Arsenal kwenye upande wa attacking tumerudi nyuma sana. Hata timu ikienda mbele unaona kabisa hakuna cha maana ni kama kila mchezaji ana uchezaji wake.. Uchoyo wa kuachia mipira mapema kwa watu...
Imagine Scoboslai amerelax kabisa kama beki kumkaba martinelli mpaka anafanya attacking. Scobo amekuwa na game nzuri sana kwa ajili ya wachezaji liability kama Martinelli. Arsenal bado hatujaacha tabia za kuwalea deadwood. Tunaangalia history zaidi kuliko kitu anachokitoa mchezaji kwasasa...
Hii game Arteta alitegemea bahati zaidi kuliko uhalisia.. Mapungufu ya Martinelli alikuwa ameshaanza kuyaona tangia muda ndio maana hata mechi ya Leeds hakumuanzisha.. Unakuja kumuanzisha mechi ya Liverpool eti kwasababu ana bahati na Liverpool.. Bado mapema sana lakini Martinelli sio tena mtu...
Exactly, Martinelli kucheza katikati itamuondolea lawama sana kuliko pembeni.. Martinelli ana pace lakini hana skills 1vs1 kucheza kama winger. Wazee wakikaba njia hamna lolote.. Bora acheze kati kwasababu uwezo wa kushoot anao
Odergard anakaa sana na mpira.. Kuna muda unaona kabisa kuna free space ya kutoa pasi kuharakisha mashambulizi lakini anafanya turning zisizokuwa na maana... Kiukweli hayupo directly na anachelewesha mashambulizi
Ushangiliaji wa Gyokeres goli la kwanza na Ushangiliaji wa goli la pili alipofunga kwa penalty akaenda kutengeneza nywele kwenye Camera😀 ni kama dharau zenu alikuwa anazisikia. Anyway, jamaa ni vile hapati nafasi za wazi nyingi na bado pale Arsenal mbele hawajamuelewa vizuri kumtengenezea.. Ila...
Lakini mkuu tukiacha ushabiki pembeni, Mbeumo na Cunha ni proven EPL player. Na leo wametuonyesha na kututhibitishia hilo.. Kama mtu utakuwa una wasiwasi na mbeumo au Cunha basi unahitaji kuwa na wasiwasi zaidi kwa Victor Gyokeres.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.