Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Sujui linacheza kamari hii mbuzi
Mzee punguza hisia. Huyo ni binadamu km wewe, naye anakosea.Kila mara nawaambia Raya ni fala sana
Huyu dogo ni msenge sana.. Hakana skills za kutosha ila kanalazimisha 1vs1..Mi bado nalia na huyu martineli …huyu jamaa sjui kwann hauzwi mchezaji wa kawaida sana
Ni kweli, Merino aki break line hawi aggressive. Atleast Odegaard anafanya drive in na kuleta madhara.Hapa nazan kwa merino angekuepo ata ode tungekua tunacheza kwao
Huyu kila siku anacheza vibayaLeo Martnell Kacheza Vibaya Sana Inabidi Atokeee
Madueke mtu jamani kwa replacement ya saka ..yuko vizuriGet Madueke more balls.
Get Martinelli out, bring Eze in.
Get Merino out, bring Øde in.
Then we're good to go!
Ode ni majeruhi mkuuGet Madueke more balls.
Get Martinelli out, bring Eze in.
Get Merino out, bring Øde in.
Then we're good to go!
Ila Liverpool msimu huu sioni wakiwa na hatari sana kwenye mashambulizi km ilivo last seasons.Kuna mipira Raya anacheza nyuma sio salama kwa timu kama Liverpool... Hawa jamaa hawaitaji chance nyingi kukuhukumu. Waheshimiwe
Blind passes zake zinanipa pressureMzee punguza hisia. Huyo ni binadamu km wewe, naye anakosea.
We jamaa akili kubwaNaona merino aendelee kubaki, ode sio mzuri kwenye kukaba
Kuhusu kuingia Eze atoke martinel hapo kama tuna bet flan hivi, no way out bora aingie Eze kuliko anachotufanyia martinel
Hadi mapumziko Liverpunda wanatumia sana nguvu ya mashabiki ila hakuna mpira wowote ule wanaocheza
Nimependa yuko directMadueke mtu jamani kwa replacement ya saka ..yuko vizuri
Yuko benchiOde ni majeruhi mkuu
Wakimchukua isak watabadilika …japo pia midfield yao naona imepwaya sa hivIla Liverpool msimu huu sioni wakiwa na hatari sana kwenye mashambulizi km ilivo last seasons.
Japo mechi bado. Ngoja tuone 2nd half watakuja vipi.