Recent content by wedream

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Njoo uku ubosi utausahau ofisini
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hua mnavutiwa nini na wanaume wenye wanawake wengi?

    Umenikumbusha kipindi domo zege.nikiambiwa huyu dema malaya natia mguu .chaajabu sikuwahi pata ata mmoja zaidi ya vibuti ila washikaji wakienda wanakula mambo.
  3. W

    JamiiForums Tanzania DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

    Hii canal sport bei zao zikoje na inapatikanaje
  4. W

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Kitu msisili apo.lilikuwa kimbilio langu 2010 nikishiwa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Umenifanya nikumbuke mbali.mwananyamala sio poa kabisa unakutana nakitoto chini ya 14 shughuli yake unakimbia
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Karma kuna kitu siwezi kukibishia ni tekinologia.maana africa tupo nyuma sana.huwa napenda kuangalia chanel ya national geo kipindi future world mengi anayoelezea ontarios unaweza yaona.kwa kusimuliwa utaona ni ndoto tu.ila natumaini muda utatupa majibu
  7. W

    JamiiForums Tanzania 10 Most Expensive Police Cars In The World: Fast Justice On Wheels

    Hili haliusiani na takwimu kweli
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana nawapa tips za msichana kukutamani Na kukuzimia

    Nilipona neno gym tu.nikaacha kusoma maana utaenda gym na bado hela watakuomba tu.ngoja nitafute hela tu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Sijaacha hata nukuta uzi uko vizuri
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!

    Kumbuka unabii lazima utimie. Kila kitu kitapita ila neo halitapita
  11. W

    JamiiForums Tanzania Marekani yatumia kura ya turufu kuzuia azimio la UN kuhusu Jerusalem

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] adi rahaaaa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Sharti la kuvua nguo zote wakati wa kujisaidia

    Nilishawai kaa chooni lisaa.nikajisahau Kabisa nasoma post za jf
  13. W

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Bupandagila nimesoma kidato chakwanza pale.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watakuwa wamelala humu ndani. Sio Kwa ukimya huu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Barmaid amenisimulia 'take home' yake kwa mwezi na maisha anayoishi mpaka nimejiona fala na degree yangu Halmashauri

    Haya uliyoyataja ndio yafanyao wafanyakazi wengi kufa masikin. Wakiwa na nahivyo akili zinaganda
Back
Top Bottom