xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,922
Supersport 11 & 12 hamna mkuuKifurushi cha bomba cha 19,000/- unapata ss4,7,8,10,11,12.
Supersport 11 & 12 hamna mkuuKifurushi cha bomba cha 19,000/- unapata ss4,7,8,10,11,12.
Hahaaaaaaa kuna watu wanaving'amuzi vya azam kifurushi bei ndogo 18,000 kwa mwez unakuta inapita hata miez hawanunui vyuma vimekaza sembuse 69000Unaongelea watanzania wa daraja gani hadi kuiona Tsh.69900 ndogo?
Kama ni sisi tunaotaka local channels za bure basi nao Dstv wajiandae kisaikolojia.
Hii canal sport bei zao zikoje na inapatikanajeKama umetumia mwaka wa saba sasa.kuwa mkweli kuhusu supersports ulikuwa uwezi kula zote kwa 69900.. bei ilikuwa ni 192000.imeshuka mwaka jana tu tena baada ya watu wengi kuanza kufunga canal sport.
Eti naona supersport zoote! thubutuu! kwa kifurushi cha bomba?! 19000 mbona kila mtu angekuwa nacho!Tena kwa 69900 unaona super sport zote na maximo,c tangazo natumia dstv huu mwaka wa saba
wameanza lini kuonesha chaneli zote kwa 69900? acha kudanganya watu, niko nao hawa watu miaka 8 sasa!Mi nimeongelea daraja langu kwan mwanzo ili nipate hizo chanel zote nilikua nalipa 222500 sasa wameshuka kwa Chanel zilezile wanachaji kwa tshs 69900,nna kila sabab za kuwapa big up,afu ishu za Chanel za buree wakiamua utakimbia we maana wanachanel had zingine zinakutu,swali je hata wakiruhusu za bure una king'umuz chao???
Kama hujui kaa kimya 69900 unapata mpaka supersports 3 mechi zote za epl na la liga unacheki live kasoro uefa champions leageu
Tena huyo analeta ubishi wakat supersport anaangalia kwenye vibanda umizaKama hujui kaa kimya 69900 unapata mpaka supersports 3 mechi zote za epl na la liga unacheki live kasoro uefa champions leageu
Hizo Maximo 1 na 2. Zipo kwa lugha ya Kireno. Kifurushi cha Bomba cha 19,000/-Supersport 11 & 12 hamna mkuu
Kama DSTV ni wajanja, mbona wanawazuia wengine kuonesha EPL. Wawape waone kama AZAM na STARTIMES watashindwa. Hapo ndipo kutakuwa na fair game.
Ukiwa Hapa Lagos Nigeria dstv premium unalipia naira 13000 ukileta kwa zetu za madafu ni kama tsh 80000. Mkuu huoni na ss watanzania tungefanyiwa hiyo bei ya kati ya 80000 hadi 70000 wengi tungeweka majumbani na kulipia premium, alafu hata Muuza mikate angeliona soko gumu. All in all nipo zangu online naangalia Golden state vs NYK burudaaan haina haja ya kulipa 224000 karibuHebu tuwekee hio bei ya Premium SA tulinganishe na Azam.
Hio kuangalia games online kwa internet ya Bongo nishaacha, usumbufu tu.Ukiwa Hapa Lagos Nigeria dstv premium unalipia naira 13000 ukileta kwa zetu za madafu ni kama tsh 80000. Mkuu huoni na ss watanzania tungefanyiwa hiyo bei ya kati ya 80000 hadi 70000 wengi tungeweka majumbani na kulipia premium, alafu hata Muuza mikate angeliona soko gumu. All in all nipo zangu online naangalia Golden state vs NYK burudaaan haina haja ya kulipa 224000 karibu
Yaah online inaboa sana. Sema dar maisha tait kulipia dstv alafu huwezi kwenda kibandani au club alfajiri kuangalia NBA. Ila nikiwaga mkoa naenjoy cable ya bein sport Kwa buku teni.Hio kuangalia games online kwa internet ya Bongo nishaacha, usumbufu tu.
DSTV sasa hivi kasoro yao ndio hio kupoteza NBA.Yaah online inaboa sana. Sema dar maisha tait kulipia dstv alafu huwezi kwenda kibandani au club alfajiri kuangalia NBA. Ila nikiwaga mkoa naenjoy cable ya bein sport Kwa buku teni.
Solution hapo ni Pay Per View (PPV) mwaka jana nilisikia wanataka waanzishe hii kitu Nigeria sikufuatilia kama walifanikisha ki kweli kabisa inabidi watufikilie na sisi katika hili wailete hiyo huduma na huku Tanzania maana unaweza lipia package kubwa halafu kwa mwezi ukajikuta utatumia hata masaa 12 kuangalia tv hapo si utakuwa unafanya kazi ya kumtajirisha mtu tuu.kununua ni bei poa, tatizo kulipia kwa mwezi vina gharama sana. kwetu sisi tunaorudi night na kutoka asbh kila siku tofauti na wekeend unajikuta umewasha tv mara tatu kwa wiki, mara ukikaa kidogo mwezi umekata na kifurushi kimeisha unatakiwa ulipie tena, ni hasara tupu. wacha nibanane huku star-times
79,000/- na salio la mwezi la kifurushi cha 19,000/-king'amuzi sh ngapi?