Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!

Jibuni swali ndiyo maana huwa mnafeli. Rais Trump amekosea kwa kukiuka makubaliano yaliyopitishwa na Umoja wa Mataifa na kukubaliwa pia na Jumuiya ya Kimataifa. Ilikubaliwa na kupitishwa jiji la Jerusalem lisifanywe kuwa mji mkuu wa I utawala wa Israel kama njia mojawapo ya kutatua migogoro inayojitokeza mara kwa mara kati ya Waisrael na Waparestina. Bali jiji hili lisalie kuwa 'mji mtakatifu' kwa dini za kiyahudi, kiislamu, na kikristo. Sasa Waisrael wao wanadai Jerusalem ni capital city yao na inapaswa kuwa hivyo kwa vyovyote iwavyo. Rais Trump ni kama katumia 'ubabe', labda. Anyway, suala la mgogoro wa Mashariki ya Kati linatatanisha sana na hasa ukitilia maana limejichanganya na kubebwa na IMANI ZA KIDINI kwa pande zote mbili. Tuwaombee Amani. Hawajawahi furaia amani wenzetu wale, ni kuuana tu! Hebu fikiria mtu anakuwa na silaha ubafuni mwake hata awapo kwenye starehe.
 
1 wafalme 8

1 Ndipo Sulemani alipowakusanya wazee wa Israeli, na wakuu wote wa kabila, wakuu wa mbari za mababa wa wana wa Israeli, wamwendee mfalme Sulemani huko Yerusalemu, ili walipandishe sanduku la agano la BWANA kutoka mji wa Daudi, yaani, Sayuni.

1 wafalme 11:13
13 Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.Adui za Sulemani

1Wafalme 11:36
36 Nami nitampa mwana wake kabila moja, ili Daudi, mtumishi wangu, apate kuwa na taa siku zote mbele zangu katika Yerusalemu, mji ule niliouchagua niweke jina langu huko.

Vv
Kwa sasa hatuko chini ya sheria,hayo maandiko yote yalikua kipindi kile Israel ilikua taifa la Mungu, ila kwa sasa Israel wa kweli ni wa kiroho
 
Kwanini niseme Dsm ni mji mtakatifu wakati sio?

Kwanini mnaita Makka na Madina ni miji mitakatifu na sio Mosul au Beghazi?

Na ni kwaninj hujibu maswali ninayokuuliza?
Kwani Dar es Salaam na Yerusalemu ina tofauti gani??? Hiyo miji mingine mm hainihusu, kwa sababu mm sijui mji wowote mtakatifu hapa Duniani
 
Kwani Dar es Salaam na Yerusalemu ina tofauti gani??? Hiyo miji mingine mm hainihusu, kwa sababu mm sijui mji wowote mtakatifu hapa Duniani
Kama hujui tofauti ya Dsm na Yerusalem na pia hujui mji wowote mtakatifu hapa duniani sawasawa na imani ya dini yoyote basi nyamaza.
 
Kama hujui tofauti ya Dsm na Yerusalem na pia hujui mji wowote mtakatifu hapa duniani sawasawa na imani ya dini yoyote basi nyamaza.
Omba ufundishwe biblia bure bila malipo niko tayari na sio kushika mapokeo au kukaririshwa imani,kisa umezaliwa katika dini fulani basi unafuata ivyo ivyo hata kama kuna upungufu
 
Tunashangilia upuuzi tu
Leo kuna uchaguzi Alabama USA
Fatilieni huyu jamaa na akipata ushindi tujielewe kwa hawa watu
53910e0fc4ea8e01f6075c2697a97c46.jpg
 
Waisrael wa sasa si wale wa zamani ni kweli lakini ni uzao wao na warithi wao halali! Kwa kuwa wewe si baba kwa hiyo si halali yako kurithi Mali ya baba?
Wapalestina ni waarabu! Waarabu wote ni ndugu maana wametokana na Ishmael mtoto wa haram (nje ya ndoa kwa mjakazi Hajiri) wa Ibrahimu. Suluhisho la kweli ni kuwa wapalestina wagawanywe miongoni mwa ndugu zao waarabu. Mgogoro utaisha. Vinginevyo ndoto ya kujiundia taifa lenye mji wake mkuu Yerusalemu ni ndoto ya mchana isiyotekelezeka! Ni kujitafutia matatizo! Watachapwa! Maana hakuna namna nyingine! Maana waarabu wote hakuna mwenye ubavu wa kuthubutu kuingia vitani na Israel! Mpaka Leo waarabu hawaamini kichapo cha mwaka 1967! Israel ilimchukua siku saba tu, kuchakaza majeshi yote ya waarabu na kuteka Yerusalemu mashariki iliyokuwa chini Mfalme wa Yordan kipindi hicho, na kuteka ukanda wa Gaza uliokuwa chini ya Misri, na kuteka milima ya Golan iliyikuwa chini ya Syria! Ikumbukae maeneo yote haya yalikuwa ya wayahudi kabla ya kupelekwa uhamishoni. Ndiyo maana ameyakalia mpaka Leo na kujenga makazi ya kudumu ya masetla wa kiyahudi!
Ikumbukwe kuwa mpaka sasa Israel bado hawajarudisha eneo lao lote lililokuwa lao kabla hawajatawanywa duniani kote! Waarabu wanajua kuwa ikianza vita Israel itatumia "fursa" hiyo kurejesha maeneo mengine na waathirika wakubwa watakuwa Lebanoni, Syria, Misri na Syria! Ndiyo maana wote wanaufyata na kubakia kulia lia tu kama ke!
Asilimia kubwa hawana nasaba nao wa zamani, ndugu lile taifa watu wake ni sehemu ya Ethiopia na asilia yao. Ndiyo waisrael halisi walivyo hawana ngozi nyeupe, hao wa sasa hivi ni mchanganyiko wa waroma waliyovamia mji ule kuondosha ngozi asili ya mji ule. Muisrael halisi hana ngozi nyeupe
 
Ubaya upo kwani Marekani hiyo hiyo kipindi cha Obama ilibariki makao makuu ya kuwa Tel Aviv na hiyo ilisaidia kuleta amani mashariki ya kati, sasa Marekani hiyo hiyo, sio inatambua, bali inataka kuhamisha mji mkuu kutoka Tel aviv kwenda Jerusalem na ujenzi uanze mara moja. Haya ya US na Israel yana mwisho wake maana hakunaga ushirika kati ya giza na nuru.
Siyo Marekani. Andika Trump!
 
Hakuna alichokosea mji huu hata iweje alieuanzisha atauhami dhidi ya maadui kibiblia mji huu ni mtakatifu alieuasisi ni Muumbaji Yaani Mungu,Ushauri Mwanadamu aachane na jaribio lolote linaloweza kuufanya Mwisho wa dunia ufikiwe kabla ya Wakati
 
Asilimia kubwa hawana nasaba nao wa zamani, ndugu lile taifa watu wake ni sehemu ya Ethiopia na asilia yao. Ndiyo waisrael halisi walivyo hawana ngozi nyeupe, hao wa sasa hivi ni mchanganyiko wa waroma waliyovamia mji ule kuondosha ngozi asili ya mji ule. Muisrael halisi hana ngozi nyeupe
Ni Weusi eet eehh
 
Ni Weusi eet eehh
Utaona nakueleza utani, ila kizazi cha Mfalme Suleman na yule Malkia mtoto wao wa kiume ni Menelik I wa Ethiopia. Jiulize mbona siyo mweupe, mzungu kapindua historia. Watu wenye asili ya ngozi nyeusi waliwaua kwenye ule mji, kina Herode ni wavamizi wa Ulaya. Hiyo ni historia inayofichwa dunia isiijue, ndiyo maana hata Yesu alitoroshwa na kufichwa mji wa watu weusi Misri dhidi ya Herode.
 
Hakuna alichokosea mji huu hata iweje alieuanzisha atauhami dhidi ya maadui kibiblia mji huu ni mtakatifu alieuasisi ni Muumbaji Yaani Mungu,Ushauri Mwanadamu aachane na jaribio lolote linaloweza kuufanya Mwisho wa dunia ufikiwe kabla ya Wakati
Kumbuka unabii lazima utimie. Kila kitu kitapita ila neo halitapita
 
d2408e791b0093bb608b9a9da7b753ff.jpg


Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
kwanini umezungumzia ukristo?, kwani trump alisema - yerusalem ni mjii mkuuu wa ukristo?
 
Sasa umesikia wapi wakristu wakitaka uwe mji wao? Washangae Waislam wanaogombania mji ambao wao wenyewe ni minority
This people are cousin sijui nyie waafrica mnawashwa nini nendeni mkajenge nchi yenu kwanza charity inaanzia nyumbani sio kwa watu miaka yote hiyo ya uhuru mmeshindwa kuelimisha jamii zenu mnashobokea ya wengine tembeeni vijijini kwenu mkafundishe jamii zenu jinsi ya kuvaa viatu na kutumia vyoo..get out of other peoples life .
 
d2408e791b0093bb608b9a9da7b753ff.jpg


Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
Kumbe KELELE ZOTE zinazopigwa na WAGALATIA lakini ISRAEL hapawahusu? Sasa huu UKRISTO umeletwa na nani huko? aisee,,, means hata YESU hakuwa mkristo,,,
 
Back
Top Bottom