we kama ulichelewa kwenda shule ni shida zako mwenyew ila umri rasmi uliopitishwa tangu kipindi cha azimio la arusha ni miaka 7 mtoto anaanze darasa la kwanza.
sio hivyo kaka,, hapo nimetumia lugha ya maandishi isiyo rasmi (informal language) ,, lakini hiyo haimaanishi kwamba sijui lugha hii tamu ya kiswahili.
Salaaam,
Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu komoja wapo nchini,Ndo nimeingia mwaka wa tatu msimu huu
Sasa juzi tumeripoti chuoni tayari kwa muendelezo wa masomo 2017/18, Kwa kiasi fulani nimefurahi tena kurudi chuoni maana nimepata kuonana na marafiki wengi tulioachana baada ya likizo ndefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.