Inawezekana upo sahihi kwa fikra zako,lakini acha nikujuze tu, elimu haina mbadala wake!
Baada ya kuona hii mada yako nimejua tatizo lako lipo wapi mkuu!
Mimi huwa napenda kukaa na kijana wangu na kumwambia, ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA!
Je unajua Eric Shigongo pamoja na mafanikio yake amerudi chuoni kuitafuta shahada?
I agree with you.
Bill gates mwenyewe alirudi Harvard kuchukua degree yake ya law.
Why?
Degree haichuji.Labda mtu achuje,ashindwe kuitumia.
Unaweza ukawa unaongea sana.Unashusha points.Huna weakness.Halafu watu wakatafuta udhaifu wako,wakaanza kukubeza kisa Elimu.Inauma sana kwamba Elimu ina control over someone's life in some way hata kama unapesa na akili za maisha.
Leo mtu anapesa na anapenda company ya watu wenye pesa na waliosoma,ila wasomi Kama kawaida yao especially wakijua huna shule watapiga story za kishule,watakubagua bagua in some ways na utaumia sana.
Degree inasaidia kufumba watu midomo.Ikupatie kazi au isikupatie,at least unayo.
Tena labda iwe imechuja huku town tena kwa waliosoma.Ila Kama hujasoma huwezi ukasema eti degree imechuja.
Mtu upo first year,Second year,ila mtaani wanakuita engineer au doctor.Hata ukitoka na class mbaya.Nani atajua.labda udisco.
Degree inampa mtu respect.
Maana hata wasomi wenyewe wanabaguana depending na degree zao.
Kwa ufupi minaona kadri siku zinavyoenda inabidi watu wenye Elimu ya juu wazidi kuongezeka,hata Kama Hamna kazi.
Kuna tofauti kubwa ya nchi yenye watu wengi wasomi ila hawana ajira na nchi yenye watu wengi ambao hawajasoma na hawana ajira.