Recent content by wanzobe wanzobe

  1. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Ajira za Watendaji wa Vijiji; Kwanini watu wenye elimu ngazi za diploma na shahada wanawekwa kando?

    Kungelikua na uwezekano wa kuuliza elim ya kila kiongozi kwnye mabaraza ya usuluhish! Bac mlundikano was kesi mahakaman usingekuepo! Jibu ni wanaogopa kuwahoji walioko juu cz weng wako pale kwa sbb ya uzoef, jina kitaan na ushawish wa kiitikad lkn wana poor reasoning capacity, kwa ww mwnye...
  2. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii?

    Mkuu, logic ya mwl ni sahh anajarb kuonesha chanzo cha kutawaliwa na dictator ni uoga! Ukijarb kuangalia maamz ya hyo DC's, RC's na wateule wengine ni uoga na unafic, dhana hii inapandizka udictator, ko kadri unavokuwa muoga unaruhusu dictatorship! Uoga wetu umemfanya aonekane dictator!
  3. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua kwa undani kwanini Siasa za ujamaa huwa zinakwama?

    Ni mfumo wa kimaskn unaomrudisha nyuma hta yule anetaka kupga hatua! Mfumo usotaka any sort of difference, na ili uendelee lazma kna watu wapge hatua ili wakupe hamasa! Ukiacha history na vtabu vngne mfumo huo unachanganya bit utakta ujamaa ushapta ila unakutana na ubepar mfumo ni aggressive na...
  4. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua kwa undani kwanini Siasa za ujamaa huwa zinakwama?

    Excellent mkuu!
  5. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kwa wakulima kufungua kesi mahakamani kupinga katazo la serikali la kuuza mahindi nje?

    We are poor bz of poor! Hayupo mchaw wa maendeleo yetu ila ss wenyewe tnaojiita tna mapenz mema na nchi yetu! Km nchi haina mikakat tekelezwa ya kilimo na haijui wanaolima inawagharim vp, kwa nn uweke mashart yasiyokuwa na mantink kwa wakulima katk ktafta soko? Ulichokilima co lazma ukiuze ndan...
  6. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili linalonisumbua

    Tumia akil kupenda acha moyo usukume damu
  7. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini Kahama walalamikia kuuziwa maeneo kwa gharama kubwa

    Hku tnakula kwa folen na unawezakosa msoc hta km plet unayo! Half Lisbon guku
  8. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Unene wa mwili na umri mkubwa vinachangia wanawake kujifungua kupitia upasuaji

    Umri unachangiaje kjifungua kwa upasuaji???.
  9. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

    Kna mwenye lv 4 lkn bado mzigo, kna asie na lv 4 lkn ni best fighter na anapesa ya kununua hyo lv 4 ila kaamua kuwekeza kwngne akawa na Honda yake ya kumuwahisha kazn! Ko unavokuwa unatoa ushaur jarb kutoa ushaur unaoshambulia fursa co kudhoofisha fursa, structured life zilipendwa!
  10. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Musukuma: RPC Mponjoli kashindwa kuniomba radhi, sasa nitaweka hadharani 'madudu' yote anayoyafanya

    RPC geita umeiva, kamata tena kabla hjampeleka lokapu piga nua!
  11. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Kazi na dawa

    Kunywa co dhambi, kulewa dhambi!
  12. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Ko hakna mwenye GPA ya 3.0 mwenye competence kuzid mwenye GPA ya 3.8! Au ndo GPA oriented vacanc
  13. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Ttzo afya unaichukulia as special case kwa supp, hata art wnapata supp! Topc ni kwamba, ikiwa unajielewa kwa coz yako hyo ya afya au art, unaanzaje kupata supp hahahahaaa! Lkn jaman chuo hakina mkomaaji!
  14. wanzobe wanzobe

    JamiiForums Tanzania Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

    Mgogo ktoboa macho kwa minyaa apate sababu ya kupewa msaada!
Back
Top Bottom