Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

Ttzo afya unaichukulia as special case kwa supp, hata art wnapata supp! Topc ni kwamba, ikiwa unajielewa kwa coz yako hyo ya afya au art, unaanzaje kupata supp hahahahaaa! Lkn jaman chuo hakina mkomaaji!
 
Siwatetei wanafunzi wa siku hizi ila supplementary ipo tangu zamani,na sio kwamba umefeli bali huja satisfy board of examiners
 
Ukiwa kilaza unaweza kupata sup Lakini kupata sup haimaanishi wewe ni kilaza,kuna sababu nyingi zinaweza kukufanya ukapata sup kama mdau mmoja alivyojaribu kuzielezea. Ambao hamjawahi kupata sup mumshukuru Mungu na acheni dharau kwa wengine
 
We ni mjinga tena wa ajabu saanaaa na Nina wasiwasi na chuo ulicho soma nahisi kabisa ndo nyie mliosoma st Joseph au private university za hovyo kabisa ,yani unadhn kupata supp ni maajabu eti alama ndogo acha tuu nisiongee mengi maana utam wa ngoma anajua anayeicheza
 
Tena hiyo Mentaly ukimaliza soma utajihisi nawe kichaa fulan ivi hahaha au ukaenda mirembe field aseee kila mtu utamuona anakichaa
Kuna kitu cha Embryology huyu asingekuja jisifu hapa nmemuhifadhi tu

mwanangu hiyo kitu embryology acha kabisa kudadekii
 
Sup inategemeana na mambo mengi sana hyo kusema anaepata sup hajielewi si kwel. .kama umesoma coz ambazo ziko so simple huwez elewa hz mambo..
 
Toa Maoni Yako Kwa Kutumia Modules Za Hiyo Bachelor Yako In History! Huku Kwenye Afya Usiposhikwa Na Sup Utakuwa Ni CHIZI
Mimi niko Afya sijawahi shikwa sup, kwa hiyo inawezekana kusoma hadi kumaliza chuo bila kushikwa na tupo wengi tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom