Recent content by Wanstechnical

  1. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Nimemeza kipande cha toothstick kwa bahati mbaya, nini madhara yake.

    Inaitwa "toothpick" sio toothstick, waambie na wenzio wote wanaoita stick kwa kifupi.
  2. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

    Mngekuwa mnabishana kwa kuweka na picha za magari mnayomiliki ingekuwa safi sana, sio mnabishana kwa magari mnayoyaona barabarani tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Ijue wilaya ya Rombo

    -Wilaya inayoongoza kuwa na vijana walevi wa pombe haram Tanzania nzima. -Wilaya inayoongoza kuwa na ndoa zenye mahari kubwa kuliko zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga Heshima Yenu

    Huu ni msimu wa mvua, kushangaa mvua imetokea wapi ni "utovu wa akili"
  5. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania An handsome president ever in my life

    Kuna kipengele nahisi mwalimu wako wa kingereza hakueleweka, #articles kasome tena... mbali na hivyo si vibaya ukiandika kwa lugha uliyo na umilisi nayo.
  6. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

    Basi wewe pia hukuwa unajua ulichokiandika, kumsifia director ni jambo moja, director kuonekana mkali kwenye wimbo mkali ni jambo lingine, unadhani Hansana anaweza kudirect video ya wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa ikawa kali kama aliyodirect ya Marioo? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

    Walichokuwa wanakihitaji hakipo kwa hao madirector uliowataja, vile vile sio lazima kila video ifanywe na directors wa ndani, kuna msururu wa videos walizofanya na hao unaowataka, je umewahi kuwasifia kwa hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Kinga macho yako yasiasilike

    Yaki"asilika" inakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania TBC1 haipendwi na Watanzania

    Hata zizimwe zote siwezi kukaa napoteza muda kuangalia tv, garbage tv channel ever...
  10. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

    Jina lako ni anal yse eeh?
  11. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya mifuko ya jamii, walimu mjiandae kilio cha kishindo

    Ukitaka kutoa taarifa inayohitaji facts jiandae.
  12. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Haka kademu kamenifanya niache kusikiliza kipindi cha Amplifaya

    Siku nyingine ukiwa unaandika, zingatia alama za uandishi
  13. Wanstechnical

    JamiiForums Tanzania Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

    Neno sahihi ni Tunzo(N) linalotokana na kitenzi Tunza(T).
Back
Top Bottom