Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Inakera mno ndg.Halafu kuna watu WANASHANGILIA TENA KWA POVU LA MOYO MKUU
Inakera mno ndg.Halafu kuna watu WANASHANGILIA TENA KWA POVU LA MOYO MKUU
Ukitaka kujifunza unafiki kwa vitendo usiende mbali tazama TBC..Mzalendo wa kweli ataipenda TBC kwani ina mafunzo mengi
Neno Uzalendo limepata tafsiri mpya awamu hii,Mzalendo wa kweli ataipenda TBC kwani ina mafunzo mengi
Ukitaka watoto walale mapema weka TBC.Kama mbagala hao ni Cuf wanahasira za julius Mtatiro kuwasaliti lazima wachukie TBCM
Ya kijani sawa na lemutuzi tvIle ni Tv ya Makonda na Jiwe
una akili timamu ?Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?
ukitaka kujua hii Tv haitazamwi jaribu kupeleka tangazo la kifo la ndugu yako , usipoangalia waweza kuzika ndugu yako peke yako , hii tv haiangaliwi kabisa !Hata mbuzi hawapendi kutazama hiyo TV ya Ccm mkuu