Ijue wilaya ya Rombo

BLOGER10

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
268
169
-Wilaya yenye wachapakazi wazuri.

-Wilaya ya kwanza kwa shule nyingi za sekondari. Kata inashule zaidi ya 1

-Wafanya biashara wakubwa nchini. Mf. Air Precision, rombo grean view,
- Barabara ya lami kokote utokako hadi rombo
- Nyumba bora zinazokosa hata wa kuishi

- Umeme kwenye kila kijiji

-karibu kila familia ina mtu mmoja anaelimu ya chuo kikuu

-Wilaya inayopendwa na waajiriwa wengi hususani walimu

-Wilaya yenye watu wanaotumia fursa vizuri
- watafutaji na wamiliki wa biashara mbalimbali Tanzania na nje ya Tanzania

-Wilaya inayochangia kodi ya nchi kwa kuwa wateja wazuri wa vinywaji hususani vinywaji vikali. mf. Bia

-Wilaya ambayo watoto wakike wanaongoza kwa kuolewa, kudumu kwenye ndoa na kufunga harusi za mamilion

-Wilaya inayoongoza kwa wazazi kuwajali na kuwapenda watoto wao

-Wilaya yenye watu wenye ubunifu na uthubutu mkubwa wa kujaribu kufanya biashara na kufanikiwa

-Wilaya inayopakana na nchi jirani lakini inaongoza kwa utuliû na amani kiasi cha kutokua kanda maalamu ya kipolisi. Sio kama Rorya

-Rombo ni dira ya ujasiriamali nchini

-Wakazi wake wamekua wataalamu wa kutengeneza pombe mbalimbali pasipo kusomea. Ni vema wakapewa elimu na kuweza kuziboresha na kulipa kodi ivyo kuliongezea taifa pato

-Wanaongoza kwenda kwao desemba kuliko watanzania wote nchini

-Wanamiliki Bar nyingi sana mijini nchini Tanzania
Wilaya inayoongoza kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa

-Ni wilaya pekee ambayo vijana wa umri mdogo wanamiliki pesa nyingi
-Ni wilaya pekee ambayo mapenzi na ngono sio kipaumbele na hayajapewa nafasi na upekee kama sehemu nyingine.

-Ni wilaya pekee watu wake wanaongoza kwa kwenda nyumba za ibada kusali kwa wingi
-wilaya yenye mlima mrefu Africa na dunia nzima

-Ni wilaya pekee ambayo inazingatia sana uzazi wa mpango nchini.

-Ni wilaya pekee wanawake wanatafuta kwa usawa na wanaume na hawana muda wa kupetipeti wanaume zao wala kuchepuka.

HIZO NI BAADHI YA SIFA ZA ROMBO NA WAKAZI WAKE. JIVUNIE NYUMBANI.
TUDUMISHE SIFA.

HACHAFULIWI MTU KAMWE ROMBO NI MWANGA, NURU NA DIRA YA UTAFUTAJI NA MAENDELEO.
Copied and pasted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipataga manzi
uko Rombo
ikajua me
ni Mchaga
au Mmarangu,
Ilipojua me ni
wa suvai sio
Shimboni
shafo,
Ikaniletea
niaje ni vipi
ikanipita ivi.
 

Umesahau ile ya kuimport kutoka Kenya.
Ila wanawake wanatafuta zaidi ya wanaume aisee, wanaume zao pombe tu.
 
Padri kule ni kama Mungu anaogopeka kuliko kifo yaan mwanakijiji akiambiwa anaitwa na Padri anaanza kujitathmin kwanza ni.mchango gani hajatoa
 
Mleta mada na wengine nawashauri usirudie tena kufanya ulofanya!
Hayo mambo wasowapenda wakisoma ndo chuki itazidi!
Hapo utazidisha husda!
Potezea kaa kimya !
Wacha watu waone wenyewe lakini siyo kuwaonesha!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom