Nimemeza kipande cha toothstick kwa bahati mbaya, nini madhara yake.

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
102
250
Habari wanajamvi,

Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino,
Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni,
Sielewi ikawaje, nmejisahau, nkajikuta nmemeza ile stick kwa maji,
Ghafla nkaisikia imekwama katika koo,
Nkikohoa itoke ikashindikana, nkaagiza ndizi mbivu na kumeza nkaona imepitiliza tumboni,

Naomba kujua madhara ntakayoyapata ama nini natakiwa kufanya kupunguza madhara km yapo.
 
Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,440
2,000
Hiyo itaenda kusagika chief... Mbaya kiasi kama ungemeza chupa.... Watu wanameza kete cha Heroine 100 sembuse hicho kakijiti.....
 
LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,704
2,000
Habari wanajamvi,

Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino,
Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni,
Sielewi ikawaje, nmejisahau, nkajikuta nmemeza ile stick kwa maji,
Ghafla nkaisikia imekwama katika koo,
Nkikohoa itoke ikashindikana, nkaagiza ndizi mbivu na kumeza nkaona imepitiliza tumboni,

Naomba kujua madhara ntakayoyapata ama nini natakiwa kufanya kupunguza madhara km yapo.

acha uandazi bhasi

hiyo ni reserve...ukila tena nyama huna haja na 'toothstick' una press button ya automatic...and then 'stick' INA operates na kuchokonoa yenyewe!!

chezea mChina weyee!!??
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,396
2,000
Ukienda chooni nenda na mjiti ili ukiona ugum kutoa uchokonoe
 
kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,003
2,000
Itatoka kipindi unajisaidia haja kubwa, ila Jitahidi kunywa maji mengi mara kwa mara. Ukiona dalili hizi wahi hospital.. tumbo kuuma, kutapika au kuharisha damu.
 
Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,781
2,000
Habari wanajamvi,

Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino,
Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni,
Sielewi ikawaje, nmejisahau, nkajikuta nmemeza ile stick kwa maji,
Ghafla nkaisikia imekwama katika koo,
Nkikohoa itoke ikashindikana, nkaagiza ndizi mbivu na kumeza nkaona imepitiliza tumboni,

Naomba kujua madhara ntakayoyapata ama nini natakiwa kufanya kupunguza madhara km yapo.
Pole haina madhara,nliwahi meza gololi tena yny kutu udogoni, digestive system ni nyosso,acha mungu aitwe mungu,utautoa tu baadae na mauchafu mengine
 
bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,555
2,000
Mboga mboga,matunda na maji kwa wingi ili upate choo/haja kubwa kuviringisha hicho kijiti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom