Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,771
- 165,405
CCM wao ndio wanadhani wako salama kumbe hili ni janga la wote.
Ko wale waliostaafu wanasubili mafao nao malipo yatakuwa kwa sheria mpya??
Na kodi ya kichwa.safari hii hata wale vichwa ngumu wagumu kuelewa mtaelewa tu.Kuna tozo ya watembea kwa miguu inakuja ili kuongeza makusanyo
kwa sheria iliyopitishwa ambayo inaweza kuanza kutumika April 2018 nawaonea sana huruma WALIMU!
kama ulikuwa upate 100M sasa utapata 38M
najua mtachukulia masikhara ila ngojeni gharika kuu ije ndo mtaelewa!!
sheria inasema utalipwa asilimia 38 tu ya mafao! ingine ndo utalipwa kidogo kidogo!! PSPF na LAPF ndo mtaisoma namba!
hela zenu zinaenda kuliwa kiulainiiii
UKISIKIA KUISOMA namba ndo huko
"silence is argument carried out by other means"Che.Walimu washazoea kudharauliwa kupuuzwa kunyanyaswa hata si shangai na hili litakua Pigo Kali zaid
Zee la Vi-Wonder kwa PSPF/PPF/LAPF/NSSF Jengeni VIWANDAAAAAkwa sheria iliyopitishwa ambayo inaweza kuanza kutumika April 2018 nawaonea sana huruma WALIMU!
kama ulikuwa upate 100M sasa utapata 38M
najua mtachukulia masikhara ila ngojeni gharika kuu ije ndo mtaelewa!!
sheria inasema utalipwa asilimia 38 tu ya mafao! ingine ndo utalipwa kidogo kidogo!! PSPF na LAPF ndo mtaisoma namba!
hela zenu zinaenda kuliwa kiulainiiii
UKISIKIA KUISOMA namba ndo huko
Jamani nisaidieni fao la uzazi bado lipo kutokana na sheria mpya zilizopitishwa? Kwa Wafanyakazi wa umma?