Recent content by wandu

  1. wandu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Nyu bolt, badala ya U bolt
  2. wandu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mistari ya msanii jasiri Roma

    'roma atabaki juu ata mkiminya mapu...... " Mstari mwingine anasema, " geita mlionga dhahabu mkaraghaiwa na vitenge, Napata ghazabu na propaganda za wabunge wase...... " Uyu jamaa yupo vzr upstairs bas tu wamemfanya hakuna.
  3. wandu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mi wameshakuja kufanya survey tangia tarehe 17 mach mpaka sasa walisema watatuma msg ya kwenda kulipia but naona kimya mpaka leo. So naomba mnijuze huwa inachukua Muda gani Baada ya survey?
  4. wandu

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Masihara ayo mtoka pabaya!!
  5. wandu

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Wasalaam wana Jf, kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hizi ziara za mkuu wetu wa mkoa wa Dar, Mh Paul Makonda hazionyeshwi kwenye taarifa za habari za vituo vingine vya habari? Mimi binafsi muda ambao huonyeshwa mubashara, kwenye kituo cha mawingu huwa nipo kwenye mishe za kutafuta...
  6. wandu

    JamiiForums Tanzania Mugabe Mungu anakuona ujue!

    Kuna ule mmoja anasema, "mwanamke akipewa uzuri bila akili, kitakacho umia ni papuchi yake" Uyu mzee kama kweli hii misemo ni yake Mungu anamuona.
  7. wandu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha fedha ambacho umewahi honga au kuhongwa

    Mi nilionga maembe
  8. wandu

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    wenyewe nani? Na dada zao nani?
  9. wandu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake zetu msipobadilika mtaibiwa waume zenu tu, na si wabaya kama mnavyofikiria

    Pole sana mkuu!
  10. wandu

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na wizi wa mtandao simu: 0658-051817

    Mbulula wewe ndo maana ujaelewa.nini sasa usichoelewa?mbona kila kitu kipo clear.eti na ww ni great thinker.aya ndo matokeo ya div 5 shame on u
  11. wandu

    JamiiForums Tanzania kituko cha prof.jk na pm pinda

    Kwı kwı kwı umefanya asıra zangu zıyeyuke asante sana mkuU
  12. wandu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Nimekusoma mkuu we ni noooomaaa,asante kwa maujanja maana nilitaka kununua galaxy feki
  13. wandu

    JamiiForums Tanzania Vodacom yapoteza wateja zaid ya 700 katika wilaya ya Kibondo

    mtandao wa tigo bwana burudaaani!!
  14. wandu

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Mandela road

    ni noma mkuu ucjaribu kupita huku ukielekea bgrn au temeke
Back
Top Bottom