mlokole halisi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 268
- 87
imezidi kwa madereva wetu....sitaki kusema mengi
We mjaluo umeshakula sukuma week umeshushia na mtindi sasa unaharisha tu hapa... Makampuni ya wazungu yanayokuza uchumi wa kwa mzungu mnasema yenu.
Tuletee bidhaa ya mkenya hapa kama huku bakhresa mengi dewji.. Sio unaringishia nakumatt Unilever vitu vya mzungu hivyo... Ata kuzalisha chakula mnashindwa mnakufa kwa njaa, mmebakia kuonyesha picha za bank ya wazungu tuonyeshe bank ya mkenya nyambaff.
Mnaponea mchele wa kyela na maharage ya ileje mkishiba mnaanza kuleta dharau tena kwa kimndogo ombo.
MTANGANYIKA ni yule yule too. bankrupt of ideas. kukosa elimu ni hatari ata kuliko ugonjwa. vidole unavyo, nadhani akili ni timamu, internet ipo. zurura kwa internet ufanye audit halafu urudi kati ya tanganyika na Kenya kuhusu investments and their owners. huwa sifanyi kazi za ki.ujinga. Nani hajui wenye brookside isipokuwa wewe!!![/QUOTE\]
hahahah.....lets think a little bit....ivi tutakapokufa tutaulizwa juu ya dhambi za nchi zetu au maendeleo ya nchi zetu?.....vipi tutahukumiwa kwa makosa yapi? ni vyema tuwe wazi kimtazamo na ushirika ulio wazi kati yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu.....hapo hatutalumbana ...NIONAVYO MIMI
mwanzo zipo hapa malumbano nawe!!! ni wenyewe ukaleta hoja hazieleweki!!! kwa hoja ya hukumu naona ufuate imam au padri!!! sijui nikutume kwa yupi!!!
MTANGANYIKA ni yule yule too. bankrupt of ideas. kukosa elimu ni hatari ata kuliko ugonjwa. vidole unavyo, nadhani akili ni timamu, internet ipo. zurura kwa internet ufanye audit halafu urudi kati ya tanganyika na Kenya kuhusu investments and their owners. huwa sifanyi kazi za ki.ujinga. Nani hajui wenye brookside isipokuwa wewe!!!
Nenda kwenye google uka google ...uvivu tupu!.......si una mtandao hapo ulipo?.....basi anza....na hautamaliza utazisoma uchoke!.....hakuna pagasi wako hapa wakukuwekea "links" usome.
Povu la nini sasa? Nakwambia wengi wenu mmekulia Kibera kwenye umaskini wa kupindukia,hivyo viwanda unavyojisifia 80%ni vya Wazungu,narudia tena mmebaki kushobokea Wazungu tu.Unakumbuka Obama anaapishwa Washngton,mapumziko yakawa Kenya?Au umesahau
Hivi nyie wakenya mna maendeleo yepi haswa kumzidi Mtanzania... Kujenga nyumba kwenu ni ishu! Kupata chakula ni ishu... Kazi ndio mnatia huruma mmejaa kwenye nursery schools huku bongo mnaosha watoto mavi ushaona degree holder wa Tanzania anashika mavi huko kwenu!?
Acheni kujifanya mmesoma mmesoma mna nini cha maana kutwa kuangaika kama wakimbizi.
Mkuu, lakini si walisha kuambia kwamba wao wanaakili sana kuliko sisi, kwa kuwa wanazungumza kiingereza wakati sisi hatuzungumzi...!
Wakenya wengi ni selfish wakabila hatari sio kwamba tu hawatukubali Watanzania hata wao wenyewe kwa wenyewe.
Wapo kama wachaga na ni bora wangeenda kenya mana wana ukabila na kujikweza na kujiona superior kuliko makabila mengine
Nyie ni vilaza tu, kazi kuenda south kuuza Unga.
Mkuu, lakini si walisha kuambia kwamba wao wanaakili sana kuliko sisi, kwa kuwa wanazungumza kiingereza wakati sisi hatuzungumzi...!
wenyewe nani? Na dada zao nani?Mbona dada zao wanatukubali kuliko wao wenyewe
Ag. CS for Transport James Macharia, Uganda Minister for Works & Roads, and Chair of the Joint Committee Mr. John Byabagambi and KR MD Mr. A. K. Maina and other committee members during a familiarization tour of the SGR project at Mtito Andei. on Friday, May 1, 2015.
Kuna muuza Unga dunia kama mtanganyika!!!!
How drug trafficking tainted Tanzania's clean image
By Bernard James,The Citizen Reporter
1 |