Recent content by Wamuhimu

  1. Wamuhimu

    Biashara ya duka la rejareja inahitaji roho ngumu

    Aaaaaaaah umekomesha bwa sheee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Wamuhimu

    Pata viatu wazi kwa bei ya jumla kirahisi na bei poa

    Endelea kumdanganya, ni kosa kutumia nembo ya Kampuni bila idhini ama kibali cha Kampuni husika. Ajiandae kwa lolote. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Wamuhimu

    Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

    Kweli huyu huenda ana kasoro, kweli koote huko hajapata anategemea humu Jf? Aaaaah haya maajabu ya mwaka 2019. Humu sana sana atapata vichaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wamuhimu

    Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

    Labda atafute malaika, maana huko koote hajapata sasa humu Jf atapata jini labda. Aendelee kutafuta. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Wamuhimu

    Nimekuta sms ya mchepuko kwenye simu ya shemeji yangu wadau niseme kwa Dada.?

    Mmmmmh Putin ulinkali fijoo. Nimecheka sana yaani jamaa anakula ugali wa mwanaume menzake halafu analeta fyoko fyoko . Jamaa akigundua ndio kwa heri mwalimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wamuhimu

    Ubora wa tv za Star-X

    We we nunua tu , mbona Mimi ninayo huu mwaka wa tano na haina shida yeyote? Utunzaji ni muhimu kwa kifaa chochote. Hata hizi LG, Samsung kama hazikutunzwa haziwezi dumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Wamuhimu

    Uchakavu wa basi za Frester ruti ya Dar Bukoba

    Mmmmmh pengine hilo basi la Frester ni cha Mtoto . Yapo mabasi ya Kampuni moja inaitwa Osaka Raha , aaaah haya ni balaaa. Kwanza ni ya zamani mengine yana Namba zinazoanza na A na yanakwenda Bkb, Ars na hata Mza.Yaani we acha tu. Ukweli SUMATRA wafanye kuyakagua haya mabasi vinginevyo mmmh...
  8. Wamuhimu

    Uchakavu wa basi za Frester ruti ya Dar Bukoba

    Ni kweli huyo anatumia kichwa kufugia nywele tu. Aaaah umenifurahisha sana aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Wamuhimu

    Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

    ZFA wangewaalika pia Green Warriors na Mashujaa ya Kigoma kushiriki kombe hili la Mapinduzi 2019. Tungeona mechi nzuri sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Wamuhimu

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Mtoa Uzi hajatoa maelezo ya kutosha , ndio maana Wachangiaji wengi wanatoa maoni ambayo hayaendani na Uzi . Uandishi ni Taaluma jamani , tujitahidi kuandika vitu vinavyoeleweka ili tusiipotoshe jamii. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Wamuhimu

    Happy Christmas Asprin

    Siyo bajaji?
  12. Wamuhimu

    Napata tendo la ndoa kutoka kwa mke wangu kwa shida sana

    Mmmmmh ulivyoandika unaonesha hauko makini. Acha akutese tuu. Lakini itafikia wakati naye atakuhitaji na wewe hutakuwa na hamu naye tena. Duniani kuimba kupokezana.
  13. Wamuhimu

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Mmmmmh hivi vitu vinaendana kweli? Eti Mkate kwa bia ? Hii nayo mpyaa.
  14. Wamuhimu

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ha ha ha ha ha kwa mchanganyiko huo aaaaaah lazima uelee juu ya Maji na una bahati kuelea juu ya Maji? Labda kwa pombe ulizokunywa
  15. Wamuhimu

    Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

    Aaaaaaaah mbona kitu rahisi tuu , na wewe tafuta wa kumchapa . Ili muwe ngoma droo. Ya nini kujipa shida Yakhe?
Back
Top Bottom