Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

mlossy

Member
Jun 25, 2012
40
34
Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninatafuta mwanamke mwembamba, mrefu, ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu.

Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ninaishi Dar es salaam. Kwa aliye tayari karibu PM, sibagui dini wala kabila. Mje warembo wa dini na makabila yooote.

Karibuni sana wapendwa wangu.
 
Unataka mrefu hivi eeeehhhhhh!!
Screenshot_20190109-173202_1.jpeg
 
Mkuu unganisha uzi wako kwa baadhi ya watu wanaotafta waume. Nahisi itasaidia kufikia lengo

All in all, utapata anaekufaa. Pia nina mtu yuko powa kabisa ninaweza kukuunganisha nae maana nayy anahitaji kama lako. Ukiona yafaa nichek pm nikutumie japo photo zen mtayajenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtaani umeacha wangapi,njiani umeacha wangapi,kazini umeacha wangapi,kichochoroni umeacha wangapi n.k mtakuwa lini 2019 na internet
 
Mimi ni kijana kitanzania ninatafuta mwanamke mwembamba mrefu ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu . Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania . Ninaishi Dar es salaam. Kwa aliye tayari 0713153696 sibagui Dini wala kabila mkuje warembo wa dini na makabila yooote . Karibuni saaana wapendwa wangu .
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2014 ulipost hii...

Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2015 ukapost hii....

Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2017 ukaja na hii...

Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2018 Ukapost tena hii...
 
yani tangu nimejiunga jf hii ndo comment yangu ya pili na first day ku view hii page#love connect#duniani kuna mambo aiseh
 
Mimi ni kijana kitanzania ninatafuta mwanamke mwembamba mrefu ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu . Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania . Ninaishi Dar es salaam. Kwa aliye tayari 0713153696 sibagui Dini wala kabila mkuje warembo wa dini na makabila yooote . Karibuni saaana wapendwa wangu .
Na usomi wako umeshindwa kabisa kupata mpenzi maeneo unayoishi, kufanya kazi, au wafanyakazi wenzio wakuletee watoto wao au ndugu/jamaa zao? Kwenye vituo vya daladala, beach, kote huko hujapata hadi unatoa tangazo, hizi Masters mnazopata hazina maana, huko chuoni hukuwaona? Au wewe ni wale wenye zege mdomoni?

Kweli huyu huenda ana kasoro, kweli koote huko hajapata anategemea humu Jf? Aaaaah haya maajabu ya mwaka 2019. Humu sana sana atapata vichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom