Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Rotation ya kikosi cha Simba
Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia masta lecturer Triple C na wenzie wakichezea mpira.
Usiondoke
FT Simba 1 KMKM 0