These people are a joke. Each and everyone of them. And to think ni viongozi wa dini. Inakuaje askofu akutane na mwanamke bar? Peke yake? Na inakuaje askofu anaongelea matatizo ya ndoa that he was entrusted with? What a joke .
Sidhani ni kwa kila dada anayekuwa hivo....yani money over everything sikatai kwamba wapo....but sidhani kwa mtu mwenye akili yake anaweza akasema leo nikatafute fukara atanipenda zaidi ya yule mwenye hela..itakula kwako...afterall LOVE WONT PAY THOSE BILLS. ni mtazamo wangu and zaidi ni kitu...
Ama kweli habari za tajiri kamuulize maskini...acha kujizugisha hapo......sasa we itakusaidia nini? au upo mawindoni? hapo ntaelewa....and Hasheem Thabit? MMhhh i hope ame invest...maana contract inaisha and mambo si shwari kikapu
pale kariakoo kuna liwa...ya wahindi...chukua ile..pamoja na manjano....
changanya ile na maji...afu paka usoni kama mask....ulale nayo...inachafua mashuka so inabidi uweke kama khanga kwenye mto.....utaona mabadiliko.
be patient lakini...ila inafanya kazi....
wamejipachika tu kuleta al maarufu....! wengine utasikia watu ndo wananiita hivo....
ila mmhhh kila mtu na maisha yake...perhaps wasomi wetu nao waanze kujiita kina jackie-o, michelleo obama, hilry clinton.....hivo hivo..anyway siku inaenda.
Nilijua ni mimi peke yangu nilio note hiko kitu....nashukuru. Lakini on another note...ndio nia zao wanazijua wenyewe but at that moment, msaada unafika hivo basi tunashukuru kwa hilo.
alaaaaah.....asante kwa kunielewesha.....i cant take him seriously as an MP....i just cant....ila hapa naona katoka kama msanii zaidi....i feel like he has multiple personality disorder....hajielewi na wala haeleweki.....
i cant take huyo Sugu seriously as an MP...i just cant....hes always pulling something to turn me off....sijazoea kuona mbunge akitukana ovyo looking for attention.....viongozi wa chama chake wako wapi kumpa mwongozo...tumemchoka
sio mkorogo....shes always been light skinned...unless alikua anajichubua since primary...afu tatizo letu wabongo ndo hilo tunajifanya tunawajua sana watu kisa tunawasoma.....
anyway sasa hiyo pic nayo mwandishi kaitoa wapi? maana it looks like kajipiga mwenyewe......hapa kuna kitu kime...
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? Au vituo vya kulelea wazee? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.