Magazeti ya Tanzania Hashikiki kwa Kuandika Uwongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya Tanzania Hashikiki kwa Kuandika Uwongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Nov 9, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Hiyo nimeitoa kwenye website ya Mwananchi.


  Ukweli ni kuwa

  (1) Conrad Murray hajahukumiwa kwenda jela ingawa ameonekana na hatia ya kusabaisha kifo cha Michael na hivyo kupelekwa rumande hadi hukumu yake itakapotolewa.

  (2) Conrad Murray hakukiri mashataka dhid yake: aliyakana yote

  (3) Kesi ya Murray haikusikilzwa mbele ya jopo la majaji saba, bali ilisikilizwa na jaji mmoja Michael Pastor akisaidiwa na baraza la wazee (jurors) lenye watu 12: wanaume saba na wanawake watano.
   
 2. Waminshari

  Waminshari Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asante....maana nilidhani ni mimi peke yangu niliyeshtukia hiyo error.....
  anyway.....................
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kakosa kadogo (watasema)! Lakini kametojitokeza kama point tatu muhimu sana! Chukulia ni kakosa kanokojirudia mara zote ..akiendesha, akila ,akifikiria, akiongea na matendo yake yote!! Na muhusika haoni kabisa kama ana hilo tatizo ...sidhani Watanzanzia wote tuko hivyo ...Lakini Baadhi ya uongozi wetu? siasa zinavyoendeshwa? Uchumi unavyoendeshwa, elimu nk ..and yet ..Hakuna anayeona hako katatizo!!!!
   
Loading...