Mkuu Rubi Unanunuwa Lozi (Almond) unaitwanga inakuwa unga unatumia kwa matumizi yako................Hi Mzizi Unga wa lozi unapatikanaje?
halafu naomba kuuliza hivi kupaka mafuta ya Olive oil kwenye kidonda ni sawa. Kuna ndugu yangu mmoja amepata ajali ya pikipiki Tunashukuru Mungu hakuvunjika ila aliumia sana kwenye mguu wa kushoto kidonda na mguu ulivimba sana. Hawakumshona walipata dawa za kutumia (sizijui) hivi sasa kidonda kinafunga na mavilio ya damu yamepungua ingawa bado hajaweza kutembea wala kuukunja mguu na uvimbe wa mguu sio mkubwa sana.
Sasa kuelekea kupona unajua kidonda kinakauka na kuwasha sana ndio niliimshauri kutumia Olive oil kwa kumasaji kidogokigo na kulainisha hicho kidonda. Je niko sawa? nisije nikaharibu tiba, na olive ipi ni nzuri? Asante Tafadhali. na samahani mwenye mada kwa kuingilia.
Zinarudi rudi kwa sababu huna girl friend. Tafuta mdada wa kukandamiza ili Upunguze hizo stressNdugu zangu mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,
toka nikiwa kidato cha kwanza mpk sasa kidato cha sita nimekua na tatizo la kutokewa na chunusi hizo kubwakubwa na zimekua zikiniachia madoamadoa uson ,na kila ninapojarb kuzitib zinapotea zen baada ya mda zinarud tena kwa kasi...ndg zangu na0mba msaada kwa anaefahamu tiba...
Aksanteni