BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
wema ni fungu la kukosa. . . .
Nadhani tatizo la Wema ni kwamba ana mashost ambao wanamzunguka. Yeye akiwa na ishu zake anawahadithia siri zake akidhani ni marafiki watamfichia siri lakini wanamgeuka wanatafuta mapaparazi wa udaku na kuyaanika mambo yake hadharani then anaishia kupata matatizo. Sidhani kama yeye ni mjinga kiasi hicho, ajue kuwa anatembea na mume wa mtu halafu ajitangaze!! WEMA jaribu kuweka mambo yako kifuani kwako mwenyewe, usimuamini mtu kwa kuwa wewe ni mtu unaefahamika na watu wengi, ukitokewa na ishu kama hiyo unaonekana mkosefu sanaaaa wakati sio wewe pekee unaetembea na mume wa mtu (if at all ni kweli)....... Pole sana Wema.
hebu naomba link ya hii blog....maana mhh we stori umeielezea vingine kuliko mke wa zamani wa marc anthony wa bongo
papaaa mukuru kuru mutoto wa totozi raisi wa kinondoni......
Pasco nakuona hapo chini...please tupe wasifu wa huyo padejee kama unavyomuona anamiliki vogue...lazima mtakuwa mmewahikukutana sehemu za bungeni na new africa..
duuh!nashukuruUkweli hiyo story ipo lakin sio kwenye blog ya belinda mgeni...mleta mada nae shangingi tu, jaribu kufungua milard ayo.com..........Official – Millard Ayo Website utapata habari kamili
Na mimi namtafuta Wema nimle. Yaani machiz kibao wakoingiza nyavu afu mimi bado. Haki ya nani lazima nimle.! Sikubali azeeke na utamu wake kabla sijampitia. Jaman mwenye contacts zake anishushie hapa.
kwa taarifa yyako ombea pale unapohitajikankuombea, me naombewa na najiombea na huyo wema pia atakiwa ombewa, kama hutaki acha, ukiona umuhimu muombee tu, kwan bei gan, usipanick mamaakwani wema ndio wa kwanza kutembea na mume wa mtu....jalini maisha yenu achaneni na wema!!! Eti anahitaji maombi...wewe umejiombea, au unajiona umekamilika??kidole kimoja unamnyooshea wema vitatu vimekuelekea wewe.....unajiona mwenye haki eeehh shauri yako
hapo ndio ujue kuwa kiasi kikubwa cha pesa za tz ziko kwenye mikono ya watu wasiostahili kuwa nazo!
Ni kazi nayo vile vile kufuatilia maisha ya watu....Watu bwana,baada yakujiombea wenyewe ili wafanikiwe kazi kufuatilia maisha ya watu.
kwani wema ndio wa kwanza kutembea na mume wa mtu....jalini maisha yenu achaneni na wema!!! Eti anahitaji maombi...wewe umejiombea, au unajiona umekamilika??kidole kimoja unamnyooshea wema vitatu vimekuelekea wewe.....unajiona mwenye haki eeehh shauri yako
kwani wema ndio wa kwanza kutembea na mume wa mtu....jalini maisha yenu achaneni na wema!!! Eti anahitaji maombi...wewe umejiombea, au unajiona umekamilika??kidole kimoja unamnyooshea wema vitatu vimekuelekea wewe.....unajiona mwenye haki eeehh shauri yako