Clouds fm wa hack account ya adili ya facebook na kusambaza ujumbe kuwa kajitoa ant virus

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
INASEMEKANA KUWA CLOUDS IME HACK ACCOUNT YA ADILI MKWERA NA KUANZA KUANDIKA MESSAGE KUWA KAJITOA
KAMA HIVI

[h=6]Adili Mkwela

KUANZIA LEO NAJITOA KATIKA HUU USENGE WA ANTI-VIRUS KWASABABU SISI WENYEWE PIA NI *******...MIMI ADILI SINA BIFU NA CLOUDS WALA RUGE,WANAOENDELEA WAENDELEE ILA ADILI HISABATI ''THE GREAT'' SIPO,NIMEKAA NA KUJUA WHAT WE ARE DOING IS NOT HIPHOP....KAENI MJUE KUNG'ANG'ANIA KUSIKIKA REDIONI NA KUTOKA SIO HIPHOP...SIFATI MKUMBO!!!![/h]

BAADAE AKAANDIKA TENA HIVI

[h=6]Adili Mkwela
MAPACHA NDO CHANZO NIMEJITOA KWENYE HIZI HARAKATI...ETI MIMI NAWABANIA STUDIO NA ETI NIMECHUKUA DILI LA KUPRINT TSHIRTS ZA ANTIVIRUS KWA SUGU WAKATI LILIKUWA DILI LAO,PILI BORA PEKE YANGU!!![/h]

BAADAE ADILI MWENYEWE BAADA YA KUJUA KUNA KIRUSI KIKO NDANI YA ACCOUNT YAKE AKAANDIKA HIVI

[h=6]Adili Mkwela

AISEE MTU AMBAYE AMEINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU NA KUANDIKA VITU AMBAVYO SIJASEMA NIMESHANGAA NA KUSIKITISHWA MIMI NI KINEGA FOR LIFE... NICE TRY CLOUDS FM...MNATUINGILIA MPAKA VYUMBANI KWETU KTK ACOUNT ZETU.[/h]

SUGU NAE AKASIRISHWA NA KUWASHUKIA CLOUDS FM KWANI NA YEYE KAANDIKA HIVI
[h=6]Joseph Mbilinyi

TAARIFA:KUNA VIRUS KAINGIA KWENYE AKAUNTI YA FB YA ADILI HISABATI NA KUANDIKA 'USENGE'...NOW WE SEE HOW DESPARATE PEOPLE MAKE DESPARATE MOVES,HII INANIKUMBUSHA LILE TANGAZO LA FIESTA MBEYA AMBALO WALITUMIA SAUTI YANGU ILI KUWAVURUGA WATU...NI WAZI NGUVU YA WASANII INAYOZIDI KUUNGANIKA KILA SIKU INAWACHANGANYA SASA NA KAMA WALIVYOZOEA WANAJARIBU KUTUGAWA...HAWATAWEZA KUTUGAWA VINEGA WA ANTI-VIRUS HATA SIKU MOJA NA TAR 26 NOV. KINANUKA UWANJA WA CHUO CHA USTAWI WA JAMII-BAMAGA TUKIWA TIMU KAMILI KWENYE BIG STAGE, BIG SOUND, TOO MANY LIGHTS FOR THE NITE!!![/h]

MPAKA SASA CLOUDS FM HAWAJAONGEA CHOCHOTE ....
TUTAFAKARI JUU YA HILI
 
Mbona haileweki au jamaa kajitoa kweli naona sugu kampiga beat naona karudi tena ha ha ha ha ha sugu moto chini
 
Nimeona hizo post, najaribu kuamini kama kweli account ilikua hacked lakini inaniwia vigumu kuamini.

Nadhani hizi ni publicity stunts kwasababu AntiVirus inazinduliwa mwezi huu na wanahitaji watu wajue hilo. Ambao watataka kuhakikisha kama ADILI hajajitoa watataka kwenda kwenye show. You get it? I'm just assuming, though it makes sense.
 
INASEMEKANA KUWA CLOUDS IME HACK ACCOUNT YA ADILI MKWERA NA KUANZA KUANDIKA MESSAGE KUWA KAJITOA
KAMA HIVI

[h=6]Adili Mkwela

KUANZIA LEO NAJITOA KATIKA HUU USENGE WA ANTI-VIRUS KWASABABU SISI WENYEWE PIA NI *******...MIMI ADILI SINA BIFU NA CLOUDS WALA RUGE,WANAOENDELEA WAENDELEE ILA ADILI HISABATI ''THE GREAT'' SIPO,NIMEKAA NA KUJUA WHAT WE ARE DOING IS NOT HIPHOP....KAENI MJUE KUNG'ANG'ANIA KUSIKIKA REDIONI NA KUTOKA SIO HIPHOP...SIFATI MKUMBO!!!![/h]

BAADAE AKAANDIKA TENA HIVI

[h=6]Adili Mkwela
MAPACHA NDO CHANZO NIMEJITOA KWENYE HIZI HARAKATI...ETI MIMI NAWABANIA STUDIO NA ETI NIMECHUKUA DILI LA KUPRINT TSHIRTS ZA ANTIVIRUS KWA SUGU WAKATI LILIKUWA DILI LAO,PILI BORA PEKE YANGU!!![/h]

BAADAE ADILI MWENYEWE BAADA YA KUJUA KUNA KIRUSI KIKO NDANI YA ACCOUNT YAKE AKAANDIKA HIVI

[h=6]Adili Mkwela

AISEE MTU AMBAYE AMEINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU NA KUANDIKA VITU AMBAVYO SIJASEMA NIMESHANGAA NA KUSIKITISHWA MIMI NI KINEGA FOR LIFE... NICE TRY CLOUDS FM...MNATUINGILIA MPAKA VYUMBANI KWETU KTK ACOUNT ZETU.[/h]

SUGU NAE AKASIRISHWA NA KUWASHUKIA CLOUDS FM KWANI NA YEYE KAANDIKA HIVI
[h=6]Joseph Mbilinyi

TAARIFA:KUNA VIRUS KAINGIA KWENYE AKAUNTI YA FB YA ADILI HISABATI NA KUANDIKA 'USENGE'...NOW WE SEE HOW DESPARATE PEOPLE MAKE DESPARATE MOVES,HII INANIKUMBUSHA LILE TANGAZO LA FIESTA MBEYA AMBALO WALITUMIA SAUTI YANGU ILI KUWAVURUGA WATU...NI WAZI NGUVU YA WASANII INAYOZIDI KUUNGANIKA KILA SIKU INAWACHANGANYA SASA NA KAMA WALIVYOZOEA WANAJARIBU KUTUGAWA...HAWATAWEZA KUTUGAWA VINEGA WA ANTI-VIRUS HATA SIKU MOJA NA TAR 26 NOV. KINANUKA UWANJA WA CHUO CHA USTAWI WA JAMII-BAMAGA TUKIWA TIMU KAMILI KWENYE BIG STAGE, BIG SOUND, TOO MANY LIGHTS FOR THE NITE!!![/h]

MPAKA SASA CLOUDS FM HAWAJAONGEA CHOCHOTE ....
TUTAFAKARI JUU YA HILI
Naunga mkono hizi harakati za wanahiphop,huu muziki ambao baadhi ya wabana pua leo wanafaidika umetolewa mbali sana,binafsi nikiwa Arusha miaka hiyo nakumbuka jinsi akina marehemu Fred Jebi akiwemo huyu anaetamba sasa stopper walivyosota,pia nakumbuka shoo za 2 proud kuhamasisha vijana,kuna watu wakajipenyeza kama wanania nzuri kumbe mwisho wanataka kuufanya muziki uwe wanavyotaka wao! Sisi wote ni binadamu pamoja na sugu leo ni mbuge lakini watu wa mawingu waliharibu kabisa mipango yake ya maisha kupitia muziki tena kwa makusudi.Sugu kabla hata ya kuwa Mbunge amejaribu sana kuendesha semina kibao kuelimisha wasanii ambao wengi wanashindwa kujitoa kwenye minyororo ya Clouds.Hawa jamaa wanaushawishi kila sector ya muziki mpaka kujikomba kwa mh Rais ili wafaidike.Sugu anawatumikia wana mbeya vizuri tu lakini analo deni ktk muziki.
 
Sugu pigana Muziki uwe huru,watu wafaidi jasho lao na sio kikundi cha watu wachache kuamua muziki gani utambe sasa!
 
Ndio maana kule kwetu hakuna kutoleana maneno kienyeji mtu akileta za kuleta unampa za chembe, ikishindikana panga moja la ugoko heshima inarudi na hiyo story inaisha sasa hii Ruge vs Sugu kila siku kila uchao..tuwape pambano watoane ngeu heshima irudi tufanye kazi ingne!!!
 
ant virus 2 ntaipata wapi? Nani anajua inapitakan vp na wapi?
 
Ndio maana kule kwetu hakuna kutoleana maneno kienyeji mtu akileta za kuleta unampa za chembe, ikishindikana panga moja la ugoko heshima inarudi na hiyo story inaisha sasa hii Ruge vs Sugu kila siku kila uchao..tuwape pambano watoane ngeu heshima irudi tufanye kazi ingne!!!
Ruge anaweza kumaliza haya.hawa jamaa wametoka mbali sana,walikuwa wanapata heshima kama watu wa burudani na si siasa! Walipofika wanaweza kutengeneza pesa nzuri tu bila kuingilia mfumo wa muziki na kujiingiza kwenye siasa.
 
i cant take huyo Sugu seriously as an MP...i just cant....hes always pulling something to turn me off....sijazoea kuona mbunge akitukana ovyo looking for attention.....viongozi wa chama chake wako wapi kumpa mwongozo...tumemchoka
 
Ebana jiongelee nafsi yako,mi sijamchoka bado sana aisee,alaf nadhani hakuhusu kivyovyote bana WAMIGAMBA
 
Kama accounts zao zimekuwa hacked ina maana kuwa anti virus zao sio effective.
 
nitaraudi namchek jamaa hapo mitaa ya kati.......namdai pesa yangu kanipigia niende nikachuke.
 
Hip Hop for life, Mbeya for Life, tangu enzi za kina Nigga J, Sun Jacko, Dicka Sharp, KBC, BBG, Sugu pia Mbeya Club ma concert ya mchana, Centre, lyunga, Meta and all over we are supporting harakati against RUGE and his media company
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom