Sugu awapiga mkwara DMX and FABOLOUS..A WORLD OF CAUTION TO DMX & FABOLOUS

cheki kidhungu cha mbunge hcho..hata mtoto wa form I ataongea kingereza kzur kuliko yeye
...Greater thinker umechemka mbaya...'kidhungu' sio ishu wachina na hi ho ha wanawapiga bao waswahili weusi kama mkaa na kiswahili chenu hap kariakoo....wadosi longtime kitambo, 'chori chori' wanakula bata hapa hapa bongo....sisi lugha yetu ni kiswahili na ndio lugha pengine aliyotumia kuombea kura. Rudi tena tafuta angle nyingine umrushie tena madongo
 
Vijana tuache kufuata mkumbo,sio kila unaloambiwa ni sahihi. ''Akili kumkichwa''
 
huyo dmx atawajua vinega ndo kina nani dj DJ kwenye machine lazma atazimika na mikuno ruge labda amfufue michael jackson aulize mby sugu alimpiga mswaki kwenye fiesta yake
 
alaaaaah.....asante kwa kunielewesha.....i cant take him seriously as an MP....i just cant....ila hapa naona katoka kama msanii zaidi....i feel like he has multiple personality disorder....hajielewi na wala haeleweki.....
 
kama akina DMX wanakuja kweli,nitaamini huyo ruge anawakandamiza kweli wananchi

sugu hana vision kama kiongozi yupo yupo tu sitashangaa kama hatachaguliwa tena second term.....

nataka kujua akina adili wana ishu gani mjini,nahisi njaa tu zinawasumbua kufuata mkumbo na kuingia kwenye beef lisilo na kichwa wala miguu la sugu na ruge....

sugu fa.la
ruge fa.la
adili fa.la
jestina fa.la
DMX fa.la

howz that?..yo!
 
tutawaonyesha clouds kuwa hata local artist wanaweza kupanda kwenye big stage sio hadi aje t pain jayz au fatjoe na mameneja masoko mdeal moja kwa moja na wasanii na sio kuongea na mapromota tu
 
Hahaha vinega wamemynd show yao hata wafanye bure watu watakao attend ni wahuni wenzao
 
Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.
 
Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.

Kwani magamba huwa hayatukani aibu yenu wafu fm na mtakoma kumjua sugu aliwattia hasara mbeya nw dar hatuendi kwenye shoo yenu. antivirus with no apology
 
Kwani magamba huwa hayatukani aibu yenu wafu fm na mtakoma kumjua sugu aliwattia hasara mbeya nw dar hatuendi kwenye shoo yenu. antivirus with no apology

unapaswa ukapimwe akili, we unaenda kuangalia uzinduzi wa matusi.

Sugu hana vision, hao jama zake wote ni majobless wanafata mkumbo. Hawana jipya zaidi ya matusi.

Kuwa mwanaharakati sio matusi. Kuna watoto wanasikiliza, je wajifunze nini hapo. Shame on you Sugu and your fellow.
 
Wafu fm wanavyotukana au hao wakina dmx hawatukani au kwa vile ni kingereza mnahanya antivirus inawapeleka hamtulii sauti zaa busara nyie kill award tuzo za channel 0 sasa vinega ndo wanarun huu mziki ndo maana kanumba kawatimua kwenye muvi we nenda kijijini mjini pamekushinda
 
Back
Top Bottom