Recent content by wakutunga

  1. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

    Big up. Umenikumbusha old bongo fleva.
  2. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Shetani kazini: Jinsi tunavyoshiriki ibada za damu na nyama bila kujua

    Ukifanikiwa kukutana na yeyote aliyejiunga na jamii zinazoamini katika upande huo wa Giza, ni maajabu makubwa sana. Kuna mmoja alitoa ushuhuda wa kulishwa kichanga na anasema ki kitamu mno mfano wa Chocolate. Na hajawahi kula chocolate tamu kiasi hicho tangu azaliwe. Dunia imejaa mauzauza.
  3. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

    Just another refreshing stories.
  4. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Kailima: Nimeenda jandoni kwa hiyo siwezi kujibu matusi ya Mbowe

    Mmmh! Au sielewi JANDO ni nini? JANDONI ni nini? Hivi mtu akikuambia JANDO lako sio tusi?
  5. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

    Thanks Mr. GENTAMYCINE for giving us something to refresh this weekend. At least tuachane kidogo na zile mambo za kisiasa. Nice.
  6. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Nimejilazimisha sana kumuelewa na kumkubali huyu Naibu Waziri lakini imeshindikana

    Kiswahili hiki kingepigwa msasa, kingeeleweka vizuri zaidi.
  7. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha kwenye hukumu ya mbunge Sugu na masahihisho yake

    Mheshimiwa ni Senior Resident Magistrate. Kwa kiswahili ni Hakimu Mkazi Mwandamizi. Inatia shaka sana. Amenikumbusha mwenzie mmoja kwenye hukumu aliandika "A DAUGHTER OF A COW" akimaanisha ndama jike. Tasnia kama hizi za kushughulika na jamii, ni vema tukajipima wenyewe kwanza. Huku ni kuumbuka.
  8. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha kwenye hukumu ya mbunge Sugu na masahihisho yake

    Wabongo kazi tunayo. Hao ndo " The learned" A great shame ever.
  9. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Habari ya UCHUNGUZI: Wajue vigogo walioshiriki kufanikisha dili la 'e-Passport'

    Wewe Jamhuri nitakurejea baadae.
  10. wakutunga

    JamiiForums Tanzania What is wrong in this picture.... Najua wengi wenu mtashindwa sema

    June has no 31 days. Refer you table calender.
  11. wakutunga

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Safi sana hii
  12. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Jini wa daraja la Salendar

    A very nice story ever.
  13. wakutunga

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Nice Series ever
Back
Top Bottom