theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
31 june
kuleni gwalaMwezi June hauna tarehe 31.
Mwezi Juni hauna 31 days. Chai / kimiminika karibu na computer (devices) / keyboard siyo vizuri.![]()
Hahaha 😀😀 Mi nilijua ni hapo kwenye kikombe cha chai, yaani kando yake hapo hamna tray ya mihogo, viazi vitamu wala mahamri! 😉Ooooh! Now I Know. Mie nikajua ni kalenda ya 2019 😉
aisee hahahaHahaha 😀😀 Mi nilijua ni hapo kwenye kikombe cha chai, yaani kando yake hapo hamna tray ya mihogo, viazi vitamu wala mahamri! 😉