Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

japo kajitahidi lakini kuna nyimbo hujazitendea haki
Hasa za fid q Maunda zorro, profesa jay , Alikiba, Enika , Nako2Nako, jumanature, Matonya, Solo thang , Bob ludala, Sumalee , Joh Makini ,Vumilia , Daz Nundaz , Q chilla , TMK family , Hafsa Kazinja, Banana Zorro,
Nk
 
List haihitaji marekebisho kwa kweli!.. Asingeiweka Bongo darisalam ningeumia sana!. Ile nyimbo kwakweli ni bonge la nyimbo enzi hizo nasoma sana vigazeti vya sani kina Mapung'o, yure babu mchawi katili, inspektor frank!. Kuna asali ya moyo inspector haroun naenda na walkman ya bro kwa mtoto wa OCD kumsikilizisha.Damn
Cc: Malcom Lumumba
 
Barikiwa sn mkuu na vp unao wimbo mmoja hv wa kitambo(siyo bongo fleva) unaitwa ""this is,this is the showdown this is the showdown we, you and me""{kaimba mwanadada}, (unapigwa sana radio1, mtaa wa mangoma).
 
Hapana siujui mkuu.
 
List haihitaji marekebisho kwa kweli!.. Asingeiweka Bongo darisalam ningeumia sana!. Ile nyimbo kwakweli ni bonge la nyimbo enzi hizo nasoma sana vigazeti vya sani kina Mapung'o, yure babu mchawi katili, inspektor frank!. Kuna asali ya moyo inspector haroun naenda na walkman ya bro kwa mtoto wa OCD kumsikilizisha.Damn
Cc: Malcom Lumumba
Bwahahaha Walkman.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom