Wacha walale saa 12 na wakome tuu we haiwezekana waharifu wanafanya uharifu tena kwa bunduki wanaambiw waende wakachukue mkaa baada ya kuwa wameshafanya mauaji kwa akili ya kawaida ya mtanzania asikie mlio wa risasi eeeet aambiwe njoo uchukue mkaa nae aendee !!! Hapo RAIA baadhi watakuwa...
Nchi yangu bwana tulianza na sukari ikavuma wewe Mara tena tukasikia janga la njaa likakiki sana hii Leo limeibuka hili swala la unga hahahahha ngoja nisubili maji nichanganya na maji nisonge ugali nile nishibe ili nipate nguvu ya kusubilia kikii ipi itafuata baada ya unga....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.