Rukwa: Jeshi la Polisi linawasaka wanafunzi waliofunga ndoa

Rukwa: Jeshi la Polisi linawasaka wanafunzi waliofunga ndoa

Hawa vijana kweli wanajua kutoroka, wametoroka shule na tena wametoroka polisi!
 
sheria inasema ni jinai kufanya tendo la ndoa na mtoto wa chini ya miaka 18...

inafurahisha pale viongoz wa kanisa kusema ndoa ilikuwa halali... kwakuwa hakukuwa na mapingamizi..

tatizo ni jinsi tatizo litakavyochukuliwa kisiasa... na waonea huruma waliofungisha ndoa, walimu na wazazi wao.
Sheria za ndoa zinazoendelea kutumika ni zile za1971 zinazoruhusu wasichana miaka15, kuolewa kwa ruhusa ya wazazi.
 
Kumbe kuacha shule ni kosa la jinai? Au tatizo na kuoana katika huo umri? Na sheria zinasemaje kuhusu umri wa mwanaume kuoa,mi najua kwa baraka za wazazi binti wa miaka 14 kisheria anaruhusiwa kuolewa.
kwa mwanaume umri wa kuoa ni miaka 18
 
hamna kesi hapo, mpaka wanaoana na kutoroka basi akili zao zipo vizur alafu cha msingi kuelewa.... Age is just a number
 
Kama walikuwa watoro police walkuwa wapi kuwasaka ad wawasake saiz wameshaoana,,bora wawaache waoane tu salmini salama waishi
 
Kwa hiyo kanisa ndio wamefungisha ndoa hiyo? huu ni upum.bavu wa kiwango cha ushetani. Hakuna sababu eti za kuhalalisha .
 
Wawashike wafuatao halafu hao watatoa ushirikiano;wazazi wa pande zote mbili,huyo aliyefungisha ndoa,mwenyekiti wa kitongoji na mtaa/kijiji na mwalimu mkuu wa shule yao.
 
Umri wao wa kuwaza sex tuu maana watakuwa wakila wakishiba tuu wanakwenda kulala tuu
 
Kwa hiyo kanisa ndio wamefungisha ndoa hiyo? huu ni upum.bavu wa kiwango cha ushetani. Hakuna sababu eti za kuhalalisha .
Wanaijiuza pake kimboka under 17 ni umalaika hawa waliofunga ndoa ni ushetani
 
Back
Top Bottom