Recent content by wakijiwe

  1. W

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    kumiminika kwa wingi ktk kiwanja lengo ni kusikiliza sera za chama na wingi wa watu haumaanishi chama hicho kinapendwa. Mwisho wa haya majigambo ya vyama vyote vya siasa ni kwenye uchaguzi. hali ya leo na ile ya chadema inaonesha jinsi gani wananchi wameamka ktk kujenga mustakabali wa nchi
  2. W

    Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    wakati mwingine muwe mnaangalia content ya issue anayoiongelea na si kushika neno moja na kulikuza wakati maana nzima ya speech umeiacha. yeye kazungumzia kama watuhumiwa wengine na hajawaita waislam majambazi
  3. W

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    kumbe inawezekana kesi kuendeshwa kwa wakat muafaka bila ucheleweshaj usio na mantik. Nafurah kes za uchaguz zimeisha kwa wakat muafaka kama maagizo ya serikali yatakavyo. Sasa ni kwanin kesi zingne zinacheleweshwa bila sababu za msing, embu watafsiri sheria kuwen serious...
  4. W

    matokeo ya kidato cha sita 2012

    matokeo ya kidato cha sita mwaka 2012 yametoka na muendelezo wa kufeli unakua mkubwa. Chek web ya necta.go.tz
  5. W

    Rai ya Jenerali: Waziri mkuu asiye waziri mkuu, serikali iliyobinafsishwa - hatuendi kokote

    Makala imejitosheleza vilivyo na mwandish kaonesha uwezo mkubwa wa uchambuzi. Huu ndo uandish unaohitajika umejaa critical thinking na una sense..
  6. W

    Kwa vile tatizo ni CCM, Rais Vunja Bunge chini ya Article 90 ya Katiba

    suluhisho si kuvunja bunge, kinachotakiwa ni kuwaadabisha wanaohusika ili wengine wapate somo. At the end we need: "The government which is committed to greater accountability in the delivery of services to the people, and such government is committed to similar transparency in the use of the...
  7. W

    Aggrey Mwanri

    uwajibikaji ishu kubwa sana hapa nchini, atakula wapi kesho wakati kitega uchumi chake ni huo uwaziri? madaraka matamuuu
  8. W

    "Mimi nitakuwa wa mwisho kupiga kura kumwondoa Mhe. waziri Mkuu"

    suala la uwajibikaji linaanzia kwa yule anayetuhumiwa kujiondoa mwenyewe katika uongozi, thereafter akishindwa kujiondoa mwenyewe basi mkubwa wake ana mamlaka ya kumsimamisha kwa manufaa ya umma. Lakini jambo linapokuwa linagusa maslahi ya nchi kwa mapana zaidi basi hata huyo mkubwa anatakiwa...
  9. W

    Hajiuzuru mtu na ole wao CCM atakaye toa saini watamvua gamba

    mh. zitto katumia haki yake ya msingi kama mbunge na anaonesha ni aina gani ya wabunge tunaowahitaji wawepo bungeni. hii ndio demokrasia ya kweli kwa kuibua uozo ndani ya serikali na huo ndo uwajibikaji wa mwakilishi wa wananchi.
  10. W

    Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

    naungana na wewe maana kuna watu wengine wapo kama watoto hawana hoja wala thinking capacity kubwa, wapo wapo tu ili mradi wanaropoka
  11. W

    Lusinde ndani ya TB-CCM

    tufikie wakati mtu anapotoa facts za kujenga ustawi na uwajibikaji tumkubali kila mtu ana mapungufu ila cha msingi tuchukue yale yaliyo mazuri na jamaa kasema fresh sana leo
  12. W

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    suala si kuanguka kwa ccm, hapa tunaangalia ustawi wa taifa letu. kelele zote huko bungeni ziwe na tija kwa maslahi ya taifa na kweli tuone utekelezaji wake
  13. W

    CCM ijifunze kutokana na matokeo ya chaguzi ndogo za Arumeru, Kirumba, Kiwira, Songea na Tanga

    napata kigugumizi kwa kulaumu waliofanya kampeni arumeru kuwa chanzo cha kuanguka kwa ccm, anguko la ccm huko arumeru ni la wote wanaccm kwa namna chama chao kilivokosa muelekeo, mtizamo na muonekano mbele ya wananchi. wana tofauti nyingi wao kwa wao na kunakosa chain of command baina ya...
  14. W

    Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

    jukumu walilopewa ni kubwa na wachukue ushauri wa dk. mwakyembe kwa kuweka maslahi ya taifa mbele. kila la heri wabunge wetu....
  15. W

    CCM mjiandae kuhama nchi

    maana ya demokrasia si kuuana na utakuwa wa ajabu sana kufanya unyama huo..... chakufanya baada ya kupata dola unaionesha nchi mabadiliko ya kweli na kuwapa wananchi yale waliyokuwa wanayahitaji ili nao waone donge
Back
Top Bottom