Aggrey Mwanri

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Mheshimiwa,

Nimekuona physically na kwenye TV ukikemea ubadhirifu katika halmashauri zetu. Umezungumza kwa ukali na kuguswa na matatizo mara zote.

Kote ulikopita hakuna mabadiliko, majengo uliyoyakataa bado hayajashughulikiwa na pia wezi wa halmashauri wakiwa bado wanaranda.
Kama ukweli uliyokuwa unasema na kufanya yanatoka moyoni naomba uwe wa kwanza kujiuzulu.

Naamini utarudi bungeni kwa heshima kubwa na wote tutakuwa nyuma yako.
 
Ajiuzulu kwa nini? Hivi kuna Halmashauri na Manispaa ngapi? Wabunge wote wanaingia ktk Halmashauri na Maniuspaa hizo kwa nini WASIJIUZULU Wabunge wote walipojiongezea posho hamkusema Ni bora. A. Mwanri azivunje km Sumaye aluuvyovunja ya JiJi la Dar
 
Ni mtanzania huyo?na utamadun huo upo?
LOWASA HADI LEO KANUNA
Mheshimiwa,
nimekuona physically na kwenye TV ukikemea ubadhirifu katika halmashauri zetu.Umezungumza kwa ukali na kuguswa na matatizo mara zote.
Kote ulikopita hakuna mabadiliko,majengo uliyoyakataa bado hayajashughulikiwa na pia wezi wa halmashauri wakiwa bado wanaranda.
Kama ukweli uliyokuwa unasema na kufanya yanatoka moyoni naomba uwe wa kwanza kujiuzulu.
Naamini utarudi bungeni kwa heshima kubwa na wote tutakuwa nyuma yako.
 
Ajiuzulu kwa nini? Hivi kuna Halmashauri na Manispaa ngapi? Wabunge wote wanaingia ktk Halmashauri na Maniuspaa hizo kwa nini WASIJIUZULU Wabunge wote walipojiongezea posho hamkusema Ni bora. A. Mwanri azivunje km Sumaye aluuvyovunja ya JiJi la Dar

wabunge wanapoingia je wanachokishauri hufanyiwa kaz?
 
Kama anayoongeaga yote ni kweli nadhani angekuwa waziri mchapakazi kuliko wote.Lakini ni usanii mtupu
 
Mheshimiwa,
nimekuona physically na kwenye TV ukikemea ubadhirifu katika halmashauri zetu.Umezungumza kwa ukali na kuguswa na matatizo mara zote.
Kote ulikopita hakuna mabadiliko,majengo uliyoyakataa bado hayajashughulikiwa na pia wezi wa halmashauri wakiwa bado wanaranda.
Kama ukweli uliyokuwa unasema na kufanya yanatoka moyoni naomba uwe wa kwanza kujiuzulu.
Naamini utarudi bungeni kwa heshima kubwa na wote tutakuwa nyuma yako.
Kwba ajiuzulu haina mantiki.
Kwa sera ya uwakibikaji Mwanri ni mdogo kati ya wote.

Namfahamu huyu jamaa ni mchapa kazi, tatizo ni mfumo wote hauganyi kazi.
Hata hivyo nimeguswa na jinsi anavyochukia unadjirifu, apewe meno.
 
Kama kweli Mh.Mwanri alikuwa anakemea kutoka moyoni, basi na tumuone awe wa kwanza kuchangia saini kwenye hoja ya Mh.Zitto.
 
Nilimsikiliza vizuri Mwanzri Jana.

If you read between the Lines you might have noted something.

Inaonekana Kabisa kuna watu wanakingiwa kifua na Wabunge hao hao wakati huyu jamaa anataka ku take actions.
 
uwajibikaji ishu kubwa sana hapa nchini, atakula wapi kesho wakati kitega uchumi chake ni huo uwaziri? madaraka matamuuu
 
Mwandri ni msanii kasoma alama za nyakati,kaota kifo cha ccm,sasa anataka kujiunga na CDM,tukumbuke huyo jamaa kasoma chuo cha siasa ngambo na amekuwa mwalimu wa siasa chuo cha Jk Nyerere, mwizi huyo,tapeli mkubwa
 
Mimi nilifikiri ungetaka kujua hatua zilizochukuliwa au zitakazochukuliwa kwa wale ambao hawajatekeleza maagizo au kuchukuliwa hatua stahili. Waziri is just a political figure sio mtendaji. Hivyo wanaotakiwa kutolewa macho ni wale watendaji sio Waziri ambaye ameshatoa maagizo. Wanaofanya kazi kwa juhudi tuwatie moyo wasanii tuwaonyeshe ni wasanii kwa kuwa wapo na tunawajua. Tuachane na dhana ya kuweka watu wote hata wenye nia njema kwenye kapu la waovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom