Mmmh nimempigia simu mke wangu nyumbani awatoe watoto sebleni au asiweke TBC mpaka ili kunusuru familia yangu na lugha chafu akimaliza mniambie wanangu warudi sebleni.
heh! kwani leo hawajaenda shule au wamefunga?
Mmmh nimempigia simu mke wangu nyumbani awatoe watoto sebleni au asiweke TBC mpaka ili kunusuru familia yangu na lugha chafu akimaliza mniambie wanangu warudi sebleni.
anasema kua kama waziri yuko siriaz na kazi hawezi kushinda face book na jamii forums!
amejuaje kama yeye sio mpenzi wa jfAmesema mawaziri hawajibiki ndio maana wanapata muda wa kuangalia FB na JF
Unamkosea haki, sio Mh, huyo ni Mdharauliwa Lusinde!
Lusinde amebadilika bana, inaonesha ameishasoma alama za nyakati vizuri. Anasema haiwezekani mtoto amekosa dawati na kukaa chini miaka 7 akitegemea atakutana na dawati sekondari lakini anakuta hali hiyohiyo huku fedha za madawati zinaliwa na wajanja. Pia amewalipua wanaopeana ajira kindugu baba alikuwa kiongozi anataka na mwanye awe kiongozi...
MY TAKE: Huyu jamaa ameanza kujirekebisha, Le Mutuz hata Mtera kuipata itakuwa ngumu kwa kweli
[SIZE=3 said:mnakuja mnadanganywa hapa eti ooh chadema, sijui ooh nasari ataleta ajira na soko, ajira atazitoa wapi? Watu hawana shukrani anasimama hapa dk slaa anatukana ccm, hawajafanya kitu, hawajafanya kitu, shule alizosoma yeye zimejengwa na baba yake? shule zimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, watu wanajiita wamesoma chuo kikuu (chuo hicho) kimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, nionesheni hapa hata chuo walichojenga CDM. . . hakunaaa![/SIZE])