Kusini maeneo mazuri ni tunduma (songwe), uyole mbeye (viaz, mchele, mbao, ndizi n.k) Tunduma biashara za mavazi, dagaa na mazao, vitenge, sukari na vilevi ni mpango wa mjini. Pia kupanda kwa kwacha ya zambia na muingiliano wa wazambia na tunduma pia ni moja ya advantage ya tunduma. Ikumbukwe...