Kwa matokeo haya naweza kusoma sheria?

Kwa matokeo haya naweza kusoma sheria?

Ingia kwenye website za vyuo vinavyotoa elimu ya sheria kwa hapa Tanzania angalia kama unasifa za kujiunga kama upo dar unaweza kwenda udsm, tumaini au azania utapata majibu yote.
 
nmemaliz kdto cha nne n kupata 4:27 .... nnapenda sheria vp bdo nna nafas ya kujiendleza kwny maswala ya elim ya sheria????

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo shule uliyomaliza ni kidato cha nne kweli, basi pambana ujuavyo uingie advance kwanza usome. La sivyo tafuta chuo kinachotoa diploma ya sheria usome, baadae utajiendeleza.
 
Unaweza, ntafte inbox nikusaidie, nimependa tu passion yako, ndoto hua haisitishwi kijinga no matter the situation is, usiogope, binafsi nimefaulu ktk ndoto yako hio, yaani mwanasheria.
 
Nimemaliz kidato cha nne na kupata 4:27 .... nnapenda sheria vipi bado nina nafasi ya kujiendeleza kwenye maswala ya elimu ya sheria????

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda udsm kaanze na cheti, ukipata A5 wanakupa distinction unasoma bachelor moja kwa moja, ila inabidi ukaze, hakuna test, hakuna couse work, hakuna representantion, unasoma masomo 8, maks zote unazitafuta cku ya mwisho, semista ya kwanza masomo manne semista ya pili masomo manne, ukitoboa ndo umetoka, ila uwe upo tayari na ukaze msuri, masomo yanaanza jion saa 11 mpaka ucku saa 2. Cku moja ni somo moja tu, so jipange.
 
sifa uwe na D4 na kuendelea History na English zikiwa included kwa kiwango cha D and above.

Kama kweny D4 izo hakuna HISTORY na ENGLISH...basi utakuwa hauna kigezo cha kusoma Sheria...

NADHANI UMENIELEWA MKUU...
 
Kama hiyo shule uliyomaliza ni kidato cha nne kweli, basi pambana ujuavyo uingie advance kwanza usome. La sivyo tafuta chuo kinachotoa diploma ya sheria usome, baadae utajiendeleza.
Kama una diploma ya social development inawezekana kujiunga na LL.B?
 
Back
Top Bottom