Recent content by wabukoba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, hii ndio CV yangu

    Kaka nakushauri pitia kwenye NGPOs kwa uzoefu wako utapata kazi.mungu akutangulie
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Mbona zitto mpaka sasa sio mwenyekiti. Zitto ni kiongozi mkuu na mama Anna ndo mwenyekiti. Utaratibu wao tofauti na vyama vingine.
  3. W

    JamiiForums Tanzania PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    Binafsi nilifanya ya saa mbili ni balaa tupu. maswali hayaendani na kazi hata kidogo. Majibu yametoka kwa wenye kufanya oral?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usahili PPF

    Leo zilikuwepo awamu tatu na kila awamu INA watu kama mia tano.post ni sita tu.inaboa kweli
  5. W

    JamiiForums Tanzania PPF Liason interview

    Mie pia nimeitwa. Kwani kwa mliokwisha fanya interview zao, vitu gani wanavitaka? mnafanya kwa muda gani?
  6. W

    JamiiForums Tanzania PPF Ajira

    Atafutaye siku zote hachoki. Muache akajaribu bahati yake.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mkopo milioni 35 wewe unachukua milion 5.

    Una wazo zuri lakini kwa nchi yetu hii labda ukopeshwe na ndugu na sio tahasisi hizi za kibenki.kumbka milioni 35 kulipa kwa miaka 8 unaweza tozwa riba ya 25% kwenja juu.Ukijumlisha utakuta unahitajika kulipa kama 43milions.Kama box unapiga serikalini hapo sawa ila kama ni kwa muhindi ni ngumu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    Dada kwa iyo elimu yako ziko NGOs nyingi za maswala ya ukimwi zina wahitaji watu wenye hali kama uliyonayo.Umekwisha pitia baadhi ya mashirika ya namna iyo? umuimu wa kutoficha ndo unapokuja hapo,pitia mashirika kazi za elimu yako ni nyingi mno.
  9. W

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    Dada hautakiwa kulaumiwa ila mimi naomba nikulaumu kasha nikushauri.Wewe si wakwanza kupata ili tatizo na watu hata ambao hawana wana ndugu na jamaa ambao wametutoka au bado wanaishi na ili tatizo.lawama zangu kwako ni kutoanza kutumia dawa mapema.toka 2008 mpaka leo ni muda mrefu sana na kama...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania one ametoka shule gani

    ni dvision vi au iv?
  11. W

    JamiiForums Tanzania msichana wa miaka 25 bado bikra

    Kwa iyo huyo mdada kama hautaki kupima una future gani naye.umemsifia kiasi hicho lkn bado unataka kumchezea kama si kumuambukiza.haufai kanisani wala msikitini.shame of you.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mcha mungu

    Muwe mnapost vitu vyenye maana.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

    Unasomea level ipi? Certificate,doploma au degree? Kama ni degree unaweza pata kazi nyingine the kijamii ikiwa utakua muhangaikaji na uhalimu sio mbaya kiivyo kuna kuna private school wanalipa vizuri sana ambapo unaweza pata mshahara wa figure 7.
  14. W

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbona hamsemi walimu ngazi gani? sekondari au primary.?
Back
Top Bottom