HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 863
Haaa mi sizifahamu sehemu za mauzo, lakini inaelekea wewe ni expert lol.
Naam, mtu unaweza kujitunza mpaka miaka 28, 38, 48. Ni chaguo lako. Ninachoshangaa ni kwanini ajitunze muda woote huo halafu ajiachie kwa mwanamme wa kibongo ambae 1) si mume 2) si official boyfriend, maana kupima walikuwa bado hawajapima, na pia jamaa amekiri kuwa na yeye alikuwa anarandaranda na wengine kabla ya hapo. Kama amekuja kuuliza kama aoe huyu binti, ina maana hawakuwa serious na wala hawakuliongelea hili swala.
Mimi sikuchezewa, in fact I married the man that deflowered me. Lakini si kusema kuwa sikuwahi kuwa na mwanamme mwingine kabla ya kukutana ya mume wangu. Ninachosema ni hata kama huyu binti alikuwa "sealed" usijidanganye kuwa hajawahi kufanya au kufanyiwa mambo mengine na wanaume katika miaka yake 25 duniani.

Usifikiri kila
Mwanamke ni kama makurumbembe yaliyopo bongo. Msichana anaweza kujitunza bikra na akafijia hadi umri wa miaka 28 hasa kama hajaolewa. Kuna wanawake wanajielewa sio wajinga wenye kufaya "virginity is not dignity but its just luck of opportunity". Wenye kufata msemo huo ni kama wanyama tu, ndio maana mnachezewa na kuachwa. Watu wanaume tunatafuta vitu sealed vya kuoa,sio vilivyochokolewa kama pweza.
By the way, kuwa na bikra ktk umri mkubwa haimaanishi atakua na sura mbaya, kakae sehemu za mauzo ndo utajua kama wanaogongwa kila siku ndio wenye sura mbaya!