Je kama waliofika oral hawakufaulu wasiite watu wengine?
Sio malumbano mkuu ujawajua tu PPF ngoja ukisha deal nao utaurudia huu uzi tena si kwa ubaya kwa kuelekezana tu!
Je kama waliofika oral hawakufaulu wasiite watu wengine?
Sio malumbano mkuu ujawajua tu PPF ngoja ukisha deal nao utaurudia huu uzi tena si kwa ubaya kwa kuelekezana tu!
Mhh PPF kn tatizo kiukweli unaeza kugharamia for nothingwife kaitwa,sijui nimunyime nauli asije,maana naona kama hakuna matumaini kama ndo mambo yenyewe ndo haya
Nimepata text na email kuhusu interview PPF jmosi liason operation officer kuna mtu kaitwa?
Nimeota.mnalishanakasa.kupunguzaa.idad.nimeota tu