UKIMWI bila Pesa ni hatari...

UKIMWI bila Pesa ni hatari...

Mshukuru na mwombe Mungu kwa kuwa ndiye muweza wa yote. Ndiye aliyekupa hili 'jaribu' na ndiye atakayekuonyesha njia ya kulishinda. Usikate tamaa ndugu yangu, mchague rafiki/ndugu unayemwamini, umweleze kila kitu kuhusu wewe, anaweza akakusaidia kwa vyovyote vile. Hongera kwa ujasiri uliounyesha.
 
Nawashukuru sana jamani mmenitia moyo hadi machozi yamenitoka. Mungu ananipigania ila naanza kukata tamaa, niliupata 2008 na sijaanza kutumia dawa; bado Mungu ananiongoza.

Tatizo maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa kiasi hadi nashindwa kula, yote ni woga wa kuwashirikisha marafiki na familia ila naamin Mungu atajibu maombi yangu

pole sana mpendwa wangu.

Kimsingi HIV imegusa karibu kila familia hapa tanzania. hivyo naomba nikutie moyo kwamba usiogope wala usisononeke kwaajili ya hili mpendwa wangu.
kama ni toka mwaka 2008 uligundulika na bado hujaanza kuumia dawa nina weka assumption kwamba bado CD4 zilikuwa juu, na hata viral load haikuwa kubwa.

nakuomba kama utathubutu naomba unipm CD4 level yako kwa sasa, na nakuomba sana kama unaweza hata viral load status pia pima uniambie. kisha nitakuomba uwe na ujasiri nikuweke kwenye utaratibu wa dawa ila hizi ni za majaribio so nitakuombea uingie kwenye huo utaratibu na tutakuwa tunakumonitor. Dawa hizi za majaribio sio ARV's lakini zimeonyesha kufanya vyema zaid kwenye kupunguza viral load, kuongeza cd4 na hazina contraindications kama zilivyo arv's
 
Mungu wa amani asema, nilikujua tangu ungali tumboni mwa mama yako. Upate nguvu na afya. Fanya kazi kwa bidii, hayo ni mapito tu ndugu yangu.
 
pole sana mpendwa wangu.

Kimsingi HIV imegusa karibu kila familia hapa tanzania. hivyo naomba nikutie moyo kwamba usiogope wala usisononeke kwaajili ya hili mpendwa wangu.
kama ni toka mwaka 2008 uligundulika na bado hujaanza kuumia dawa nina weka assumption kwamba bado CD4 zilikuwa juu, na hata viral load haikuwa kubwa.

nakuomba kama utathubutu naomba unipm CD4 level yako kwa sasa, na nakuomba sana kama unaweza hata viral load status pia pima uniambie. kisha nitakuomba uwe na ujasiri nikuweke kwenye utaratibu wa dawa ila hizi ni za majaribio so nitakuombea uingie kwenye huo utaratibu na tutakuwa tunakumonitor. Dawa hizi za majaribio sio ARV's lakini zimeonyesha kufanya vyema zaid kwenye kupunguza viral load, kuongeza cd4 na hazina contraindications kama zilivyo arv's

asante nimekuelewa izo dawa umesema ni za majaribio na utaratibu wake wa kunywa ni ule wa kila siku au inakuwaje nieleweshe kwanza
 
sasa hapo cha kufanya wewe tumia hii mitandao ya kijamiii kujiuza piga picha za kutamanisha kisha aanza kusanbaza hapo itakua fresh mpaka dawa ipatikane 2015 utaishi nao fureshi

Sijui umemshauri nini mwenzako au anapoisoma post yako unafikiri atajisikiaje....Mambo mengine usitake watu wajue ulivyo....YOU ARE SELFISH ENOUGH,THEN MSENGENYAJI NA WA KUJISIKIA SANA EITHER UNAZO AU MNAZO,UNAJUA NA VITU KAMA HIVYO...NI mbaya kwako mbele ya jamii...you need to be serious especial in the matter that touch life like this.Shame be upon u.
 
Dada hautakiwa kulaumiwa ila mimi naomba nikulaumu kasha nikushauri.Wewe si wakwanza kupata ili tatizo na watu hata ambao hawana wana ndugu na jamaa ambao wametutoka au bado wanaishi na ili tatizo.lawama zangu kwako ni kutoanza kutumia dawa mapema.toka 2008 mpaka leo ni muda mrefu sana na kama ungetumia dawa afya yako ingekua nzuri.Kwa sasa vituo ni vingi na ugonjwa huu sio siri tena kama ilivyokua zamani.Chondechonde jitokeze ukaanze dawa ndugu yangu kwani mungu yu pamoja nawe.
Nawashukuru sana jamani mmenitia moyo hadi machozi yamenitoka. Mungu ananipigania ila naanza kukata tamaa, niliupata 2008 na sijaanza kutumia dawa; bado Mungu ananiongoza.

Tatizo maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa kiasi hadi nashindwa kula, yote ni woga wa kuwashirikisha marafiki na familia ila naamin Mungu atajibu maombi yangu
 
Dada kwa iyo elimu yako ziko NGOs nyingi za maswala ya ukimwi zina wahitaji watu wenye hali kama uliyonayo.Umekwisha pitia baadhi ya mashirika ya namna iyo? umuimu wa kutoficha ndo unapokuja hapo,pitia mashirika kazi za elimu yako ni nyingi mno.
Nimemaliza ba ya sociology and social work nashukuru kwa ushauri wenu coz watu wengi ni fake umu ndani kuna kipindi nilitafuta mwenza mwenye vvu watu tulikuwa tunawailiana siku moja shida yao wanione then basi kumbe hawana ugonjwa
 
Siwezi kuwa tapeli maana sijaomba hela ya mtu.

Nimeongea hivi ili nishauriwe sababu sijawahi mshirikisha mtu, najua hapa sijulikani ndo maana nikaongea hivi wala sihitaji mia ya mtu, napenda kushauriwa tu

Mimi nahisi nimekufaham (Kwa majina mawili uliyotumia kama ni kweli) ila nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu ila jaribu kujihangaisha kupata shughuli zitakazokuingizia kipato cha kujikimu, kama utakuwa ndiye ninaye mfahamu mimi basi afya yako bado ni nzuri na ukichukua hatua mapema utaishi miaka mingi tu maana kwa umri wako bado msichana mdogo tu wewe.
 
asante nimekuelewa izo dawa umesema ni za majaribio na utaratibu wake wa kunywa ni ule wa kila siku au inakuwaje nieleweshe kwanza

yap dawa hizi ni za majaribio kwasababu ziko kwenye clinical trial na zinafanyiwa kazi na Tanga health group. ni za mitishamba ila hapa kwetu tumeanza kuziweka kwenye capsules ili zimezeke kwa urahisi zaid. unameza tembe mbili kila bada ya masaa 8.

kwasabbau ya kuwepo kwenye clinical trial utalazimika kufuatiliwa kwa karibu zaid na watoaji wa dawa zenyewe. Lakini napenda nikuhakikishie kwamba zimefanya kazi vyema sana kwa watu amabo wanazitumia na zimeweza kupunguza viral load kwa baadhi ya watu kwa kiasi kikubwa sana na hata kupandisha cd4. kama unahofu juu ya hizi dawa basi wee ipotezee tu and am sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
pole maria, usiwe mnyonge.. haupo peke yako.. Nina kitu ambacho kinaweza kukupa moyo kama sio kukuimarisha zaidi.. please nitafute hapa.. freeconsious@gmail.com
 
Mariangonyani upo? Unaendeleaje? Tunaendelea kukuombea na utafanikiwa, nimekukumbuka sana leo. Uwe na siku njema
 
Last edited by a moderator:
Waeleze ukweli familia yako hata kama si kwa mali basi kwa ushauri wa ukaribu sana watakusaidia
 
usikate tamaa ndugu jipe moyo na napenda niwe mmoja wa marafiki zako ma cjui ntakupataje mi ni mwanachama mpya ciez atakukupm bt naitwa . Mungu awe pamoja nawe
 
Rafiki ulivyomaliza chuo hukufanikiwa kupata kazi ila utapata Muda wa Mungu ukifika
 
pole sana dada ningependa kufahamu unaendeleaje na je umeanza dawa? pole sana
 
Back
Top Bottom