Natafuta kazi, hii ndio CV yangu

Natafuta kazi, hii ndio CV yangu

Duh, kazi ni ngumu sana kaka na kwa maslah unayo yahtaj labda ujiajiri mwenyewe kwa taaluma uliyonayo anzisha hata tution yako kwa kujionfeza zaid
 
Duh, kazi ni ngumu sana kaka na kwa maslah unayo yahtaj labda ujiajiri mwenyewe kwa taaluma uliyonayo anzisha hata tution yako kwa kujionfeza zaid
Asante sana kwa ushauri kaka.. Bado sijakata tamaa nna struggle niame hii sekta still mambo magumu.
 
Yoyote anaeweza kunisaidia bado naitaji kupata kazi nyingine.. Email yangu ipo hapo juu au karibia PM.
 
Kaka nakushauri pitia kwenye NGPOs kwa uzoefu wako utapata kazi.mungu akutangulie
 
Dah mtu una kazi unalia ivyo kuna brother mmoja yeye aliacha ualimu akafungua ofis
 
Bw. Mzalendo kwa usimamizi wa miradi sina shaka nawe bila shaka wewe ndio mmiliki wa Mzalendo Pub na Gazeti pia?
 
Jihadhari na matapeli pia wanao dai watakutafutia kazi yeyote unayo itaka..
 
Nimekuwa mwl.kwa miaka isiyopungua 9 kwa muda wote huo nilikuwa nataka kubadilisha kazi kama wewe.nilifanikiwa mara 3 na sasa niko nafanya kazi siyo kama mwalimu.

Changamoto ni nyingi lakini nima siri ya mafanikio yako.

Kuna mambo mengi lakini kubwa nililoligundua ni "job interview skills" hili ni tatizo la wengi hata wale ambao hawako katika ualimu lakini pia wanahitaji kubadilisha kazi au kuongezewa mshahara lakini wasijue nini cha kufanya.

Nimewasaidia vijana wengi kuhusu masuala hayo.nina uzoefu wa miaka 10.

Kama utahitaji basi ni pm ili tuweze kupanga appointment ili nawe uweze kubadilisha kazi kadri upendavyo.
Kila la kheri.
Mmh, umejielezea vizuri but huku mwisho inaonekana kama vile unataka kumvalisha mwenzako kaniki ili apate hicho anachokihitaji... Kama hujatumia njia za giza, si uweke hapa mbinu ulizotumia kwa manufaa ya wana JF wote?
 
Mhhh!........Masters................BSc. Education......................Are you creative/innovative?. Poleni waalimu!, piga moyo konde hii ndio Tanzania STD VII..analia!, Form IV..analia!, Form VI..analia!, Certificate..analia!, Diploma..analia, Degree..analia, Masters..analia, PHd..analia, Prof..analia!. Full kulia tu, Mtumainie Mungu alafu uwe mbunifu mm naamini kama mtaji umekusanya wa kutosha kwa hiyo miaka yote. Tumia ulichokikusanya shuleni njoo huku "entrepreneurship"
 
Umri wako miaka 31 una masters, bila shaka ulisoma ukiwa kwenye kazi ya ualimu, alafu unasema hujapata kitu wakati ualimu ndio uliokufikisha kwenye masters, hata hivyo miaka 7 michache mno kupima mafanikio kuwa na subira
 
Kiongozi wewe
Mkuu nna hamu sana ya kuanzisha mradi. Hapa nilipo nina idea ya kuanzisha day care au shule na nna uhakika itafanikiwa sana maana nimetumika sana kuwafanyia wengine wakafanikiwa.

Tatizo ni capital mkuu, yani mshahara nnaopata as mwalimu ni aibu ata kuutaja na wote unaishia kwenye matumizi ya lazima kwangu na family ata kusave inakuwa ishu. Ndio maana naona nikipata kazi nyingine yenye angalau mshahara wa kuridhisha naweza kuanza kujipanga taratibu .
yani wewe pamoja na master yako hata ukipata kazi nje ya uwalimu bado maisha yatakusumbua tu kwanini nasema hivi

Ujui maisha mazuri au mafanikio yanaitaji nini

Wewe bado una amini elimu nzuri nafasi nzuri ndio itakubadilishia mfumo wako wa maisha na ndio maana ukakazana mpaka ukapata ada ya kusoma masters ukiamini ukiwa na masters maisha utayamudu

Ndugu yangu open your eyes

Sitaki kuamini kazi ya uwalimu ni mbaya inafanya maisha yako yasibadilike ili hali leo hii Kuna walimu Wana kipato kizuri tu wanafurahia maisha wao na familia zao

Nachotaka kuambia ushapata elimu unachotakiwa kutilia mkazo ni pesa je pesa inatafutwaje sahau kuhusu elimu yako waza pesa mafanikio jiulize

Mbona darasa la saba Wana mafanikio wanafanyaje fanya wanavyofanya tena tumia na elimu yako hapo uone kamwe utajutia

Yani ukiona mwalimu leo anajiliza liza jua ana tatizo walimu leo wameamka wanautumia mda wa ziada kujiongezea kipato si kusoma magazeti na kulala
 
Mkuu nna hamu sana ya kuanzisha mradi. Hapa nilipo nina idea ya kuanzisha day care au shule na nna uhakika itafanikiwa sana maana nimetumika sana kuwafanyia wengine wakafanikiwa.

Tatizo ni capital mkuu, yani mshahara nnaopata as mwalimu ni aibu ata kuutaja na wote unaishia kwenye matumizi ya lazima kwangu na family ata kusave inakuwa ishu. Ndio maana naona nikipata kazi nyingine yenye angalau mshahara wa kuridhisha naweza kuanza kujipanga taratibu .
Kwa hiyo unapenda kazi kama afisa tawala au afisa utumishi hivi si ndio?
 
Nimekuwa mwl.kwa miaka isiyopungua 9 kwa muda wote huo nilikuwa nataka kubadilisha kazi kama wewe.nilifanikiwa mara 3 na sasa niko nafanya kazi siyo kama mwalimu.

Changamoto ni nyingi lakini nima siri ya mafanikio yako.

Kuna mambo mengi lakini kubwa nililoligundua ni "job interview skills" hili ni tatizo la wengi hata wale ambao hawako katika ualimu lakini pia wanahitaji kubadilisha kazi au kuongezewa mshahara lakini wasijue nini cha kufanya.

Nimewasaidia vijana wengi kuhusu masuala hayo.nina uzoefu wa miaka 10.

Kama utahitaji basi ni pm ili tuweze kupanga appointment ili nawe uweze kubadilisha kazi kadri upendavyo.
Kila la kheri.

HAPA HAKUNA MIRADI YA UDUFUAJI HAPA??
 
Umeandikiwa hapo "Job Interview Skills" hujaona labda tatizo lugha ila ungeweza hata kuuliza tungekuelewesha nini maana yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom