PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

Binafsi nilifanya ya saa mbili ni balaa tupu. maswali hayaendani na kazi hata kidogo.
Majibu yametoka kwa wenye kufanya oral?
 
huo ndo ubunifu wa hr wa ppf, duh!! kweli ajira ni janga
 
Hivi member care trainee walishaitwa kwa ajili ya oral interview?
 
Back
Top Bottom