Recent content by wa ukweli23

  1. wa ukweli23

    Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

    Mk8ppipllood99d3àlààkl Lawn
  2. wa ukweli23

    Mwanangu wa miezi sita (6) anaumwa mafua hatari.

    Kama ni mafua ya muda mrefu na hayaponi Basi jaribu kumpeleka hospitali yawezekana anasumbuliwa na nyama za puani,..kwa sasa inasumbua Sana watoto wengi...
  3. wa ukweli23

    Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

    Ni kweli vibali imekuwa ishu...halmashauri ya jiji la mwanza naona wanaongoza kwa usumbufu,ukifika wanakuandalia mazingira ya rushwa,nimekata tamaa sasa nimeamua nitajenga bila kibali chochote.
  4. wa ukweli23

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Fanya hivi ndugu...tafuta mtu anaefuga kuku WA mayai kwa wingi halafu muombe akuuzie bei ya jumla..huku nilipo mm Ni 5000 bei ya jumla halafu WW tafuta wateja wa chips wauzie 6500 sabab maduka mengi wanauza 7000 hiyo itakuwa imekupa WW competitive advantage...kwahiyo bas utaanza na tray 10...
  5. wa ukweli23

    Biashara gani inaweza kuingiza faida ya Milioni 2 kwa mwezi?

    printing and signage company....ukianzisha kama unatoa vitu quality unaweza pata zaidi ya hiyo faida
  6. wa ukweli23

    Msaada: Airtel University offer

    voda pia wanayo ni *149*02# unapata dk 50, mb 500 na sms 500
  7. wa ukweli23

    TBC1 haitoi sauti kwenye king'amuzi cha startimes naomba msaada

    Kwenye remote yako kuna sehem imeandikwa track. bonyeza hapo ubadilishe setting za sauti kutoka pale ilipo uhamishie inayofuata. Naamin itakubali.
  8. wa ukweli23

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    umemjibu vyema mm mwenyewe saivi nipo mwanza sehem chache sana mwanza ucku ndio pamechangamka ila asilimia kubwa ya watu ni washamba saaaana halaf j pili siku ambayo mtu ndio una mda wa kutembea town na kufanya manunuz karib maduka yote yamefungwa...tuache utan arusha pamechangamka hata kama...
  9. wa ukweli23

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    umemjibu vyema mm mwenyewe saivi nipo mwanza sehem chache sana mwanza ucku ndio pamechangamka ila asilimia kubwa ya watu ni washamba saaaana halaf j pili siku ambayo mtu ndio una mda wa kutembea town na kufanya manunuz karib maduka yote yamefungwa...tuache utan arusha pamechangamka hata kama...
  10. wa ukweli23

    Nafasi za kazi kwa waliosoma kozi za masoko na biashara

    mmh mbona mimi nimeogopa jicho langu la pembeni linacheza.....
  11. wa ukweli23

    Watoto wa kike wanafaida sana katika familia

    hapo kuna ukweli ndani yake...
  12. wa ukweli23

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    naweza pata namba yako mkuu...asante kwa elimu nimevutiwa
Back
Top Bottom