Unapotaka kuoa, usidharau kigezo hiki

Unapotaka kuoa, usidharau kigezo hiki

Natamani ningekuwa na uwezo nikachonge wangu na kumuwekea tabia nitakazo. 1.Uzuri na 2. tabia lazima, viwepo.
 
... hongereni wale ambao mmeoa wake zenu mnaowakubali,hadi mnajiskia raha kiwango cha kudharau kabisa michepuko.

Asante mkuu.

Naomba nisindikize na swali, we umeoa? Huu ushauri unakuhusu poa.
 
Wanawake wazuri kabisa sio rahisi kuwapata wanahitaji,vitu vikuu vitatu ukiachilia mbali sifa zako ww mwoaji (manake huwezi kua mzee wa michepuko ukataka mtu descent-mungu hawezi kumwangusha mtoto wa watu sababu yako)
wanahitaji
1.Uvumilivu
2.Muda
3.Rasilimali.
 
Mi huwa najaribu kutafuta mchumba mwenye vigezo vyote ninavyopenda lakini nafikiri ni swala gumu zaidi..
kwani kila utayempata utakuta kapungukiwa.Kikubwa ni kuhangaika na vigezo vya msingi kama vile tabia njema..

asikudanganye mtu mapenzi hayana formula angalia sana wale watu mapepe mliokuwa mkisoma nao wanaolewa mapema na wanatulia kwenye ndoa zao wale watulivu yaani wife material wanaishiaga kubeba mimba kabla ya ndoa au akipata ndoa wanaishia kuachana kitu cha msingi hapo ni kumtanguliza Mungu akupe mke au mume bora
 
Consider this letters for a good wife.
A. Appearance
B.Body structure.
C.Character.
D.Discipline.
E.Education. and
F.Fashion
Hizi zote ni mbwembwe tu. Sifa kuu ni ile iliyoelezewa kwenye vitabu vitakatifu,' mwanamke ambaye hajamjua mwanaume'' BIKRA. Hiyo ndio sifa kuu na yenye Heshima na huambatana na Baraka za mungu. Mwanamke huyu ataiheshimu ndoa yake daima na mwanaume atampenda tu mke wa namna hii. Hawa wengine walioshindwa kujitunza huwa sio rahisi hata kuitunza na kuiheshimu ndoa. Ikitokea basi ni kwa neema tu za mungu.
 
Mathalani umeoa mzuri na
baada ya miaka kadhaa akabadilika sura na umbo may be ajai au umama
tu..utafanyaje?utachepuka?
mimi nawaambia hivi uzuri unanunulika.watunzeni wake zenu.Usione vyaelea
[FONT=times new
roman]Watu wengi wanapotaka kuoa huwa wanatoa kipaumbele kikubwa
kwenye tabia ya yule anaetaka kumuoa, hata kama yeye hana tabia nzuri,
hilo huwa muoaji hajali kabisa, lakini katika research yangu yaki-layman
nimegundua kuwa uzuri wa unaetaka kumuoa lazima uzingatiwe, sio lazima
awe mzuri hadi anaharibu tension za watu, laa!!!!ila kwa kifupi awe ni
mtu ambae roho imeridhia na anakidhi haja zako.

Kama wewe unapenda wanawake wenye maumbile fulani au shepu fulani au
rangi fulani, basi hakikisha unaoa mwanamke mwenye sampuli hiyo maana
kama uta li-ignore jambo hilo basi hutaacha kuruba ruba kwenye ma BAR,
na kwingineko kwa ajili ya michepuko, ingawa suala la michepuko ni hulka
ya mtu lakini kuna asilimia fulani za watu hawatulii kwa sababu wake
zao hawana mvuto na waliwaoa kwa sababu ya tabia zao nzuri.

Naomba nitoe pole kwa wale wote walio oa wanawake ambao nafsi zao
haziwakubali hadi inafikia wakati kuongozana nae kwenye harusi au shereh
unaogopa ogopa pia hongereni wale ambao mmeoa wake zenu
mnaowakubali,hadi mnajiskia raha kiwango cha kudharau kabisa michepuko.
[/FONT]
 
mimi bana vitu viwili mwanamke ajiamini na awe na maini ya kutosha(neema za... )
 
Mathalani umeoa mzuri na
baada ya miaka kadhaa akabadilika sura na umbo may be ajai au umama
tu..utafanyaje?utachepuka?
mimi nawaambia hivi uzuri unanunulika.watunzeni wake zenu.Usione vyaelea

Wenye macho waone na wenye uelewa waelewe.

Mleta mada wewe endelea tu kudanganya watu na kujifariji na hizo ABCDEF zako.

Hili alilosema mkuu hapa ndio neno
 
Mathalani umeoa mzuri na
baada ya miaka kadhaa akabadilika sura na umbo may be ajai au umama
tu..utafanyaje?utachepuka?
mimi nawaambia hivi uzuri unanunulika.watunzeni wake zenu.Usione vyaelea

wabaya utawajua tuu...full kujifariji eti uzuri unanunulika.
 
Back
Top Bottom