Recent content by Von Mo

  1. V

    Imeniuma sana, mpenzi wangu hanipi hata senti wakati mimi namsaidia sana

    Mtu akisoma habari hii anaweza kuwa Confused, Bado una hasira tulia kwanza
  2. V

    Swali: Kwanini pete ya ndoa/uchumba huvaliwa kidole cha pili?

    Tafiti za kisayansi zinaonesha kuna Mshipa Mkubwa ktk hicho kidole unaokwenda moja kwa moja hadi moyoni, Hivyo basi ukivaa pete hapo huwa inaunganishwa moja kwa moja upendo yaani lile agano kwamba hautakaa utoke nje ya uhusiano wako Na ndiyo maana ukiangalia pete ya ndoa huwa ni duara...
  3. V

    Makonda: Sintokwenda mbele ya Kamati ya Bunge kuhojiwa bila kuitwa kwa barua

    Mwiba hutolewa kwa Mwiba! Yaani hapo Raisi akiendelea kumwachia Mkoa wananchi wa DSM hawatamwelewa kabisa, Yaani utaratibu uliotumia wewe uliona sawa halafu kwako unaona siyo sawa. Acha niendelee na hang over kwanza
  4. V

    Nimfanyie nini mpenzi wangu kwenye siku yake ya kuzaliwa?

    Mwambie Umeitwa Central atakuja kwa dharura then unamfanyia B/Day yake
  5. V

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Kumbe Le Mutuz hujawahi hata kusoma Sheria Ndugu yangu! Daah! So sad! Sheria huwa haisomwi hivyo, Nakushauri We komaa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania https://www.bugando.ac.tz/attachments/Katiba_ya_Tanzania.pdf _________________________________________________________________...
  6. V

    Anayeamini kuna vita ya kupambana na madawa ya kulevya nampa pole

    Huwezi kuwaita watu halafu unasema kama wapo wengine wanaojihusisha natoa siku 7 wawe wameacha!!! This is not right! Unaharibu ushahidi!
  7. V

    Bunge limetangaza vita dhidi yetu, wananchi tumelala

    Kuna mambo hayakukaa sawa, hebu Msikilize jamaa hapa
  8. V

    Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

    Pole sana, Tembea mbele, Kamata Mwingine kupooza machungu
  9. V

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Clouds FM - 88.5 FM Dar es Salaam - Listen Online
  10. V

    Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    I understand Mange Kimambi! She always talk sense! Sometimes when you hear something take an extra miles to find out the truth, 90% she speaks TRUTH. I trust her because I found the same information from the reliable sources. So unabaki unashangaa, Sometimes better you stay without trusting her...
  11. V

    Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    daah naiona thread yako Mkuu Hope you are fine now
  12. V

    Kidole changu kimevimba na kinauma

    hapo utafanyiwa operation Jitahidi urudi hospitali au kafanye xray
Back
Top Bottom