Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

Pole sana mkuu, huyo hakufai tena shukuru Mungu kakuambia mpema, cha msingi we fanya yako tu, Mungu ni mwema atakupa wa kufanana nawe
 
kwani sa hizi unaishi na nani??? pole ulifanya kosa kubwa kuacha kumkojoza
 
Udhaifu mbaya sana, kufikia hatua hii wewe ni dhaifu achana nae kaa kimia
 
Pole sana,
Tembea mbele,
Kamata Mwingine kupooza machungu
 
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.

Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.

Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye

Msaada wenu tafadhari
Dalili ya mvua mawingu mkuu, umekuwa mzembe sana kupita kiasi, huyo amekuwa akikuchora tu na kujaribu kukuweka kwenye mizani, ogopa sana kukaa na binti muda mrefu bila kumgegeda mkisubiria eti mpaka muoane, unahudumia demu wa mwenzako hapo, wengine wanajitambua lakini wengi wao wapo kiujanjaujanja, ishi nao kwa tahadhari kubwa.
 
Fungua ukurasa mpya ndugu, amekufanyia jambo jema sana kuliko angelikaa kimya. Kwa ujumla huyo hakuwa chaguo lako
 
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.

Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.

Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye

Msaada wenu tafadhari
Kwani ulizaliwa nae, come to the road again and hook another chick, na maisha yanaendelea
 
Huwezi kuishi bila yeye.Uamuzi sahihi ni kunywa sumu hakuna namna nyingine.
Hivi hii kauli YA"SIWEZI KUISHI BILA YEYE"huwaga wanaichukuliaje watu?

Yaani mimi hata niwe nakupenda vipi aiseee siwezi kumtamkia mtu kuwa siwezi kuishi bila yeye kwa lipi hasa alilonalo kwa mfano ambalo MUNGU hana?
 
Hakutaki Sababu. Hauna ushawishi au technique za
Kutafuna papuchi yaani amekuja ghetto. Zaidi ya mara moja
 
Back
Top Bottom