Kidole changu kimevimba na kinauma

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
_IMG_000000_000000.jpg
Uodate: kwa sasa nmekiwekea ndula nmefata ushauri wa baadhi ya wachangiaji

Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa daktari juzi aliniambia kuna mdudu hivyo ninywe amoxin na paracetarin ila mpaka sasa naona hali haina, Naombeni msaada wenu.

View attachment 467965
_IMG_000000_000000.jpg
IMG_20170207_075355460.jpg
 
Huyo ni mdudu huwa anauma kupita maelezo, aameshawahi kunipata. Siku tatu zujazo utaanza kulia peke yako usiku. Subiri kiive then utaenda hospital wakapasue na kusafisha kitundu chake maana huwa anachimba kishimo kwenye nyama ndani. Nadhani kuna dawa zinaivisha harakà jaribj kuwasiliana na dr akuelekeze
 
Dah huyo mdudu noma utamjua alie kuwa mchuchu wa bibi yako siku za mbele.

Kuna madaji flani unapaka, huiva ndani ya siku...
 
Humu wengi wanabwabwaja tu.huyo mdudu usipofanya jitihada ataharibu kidole.kwa ushauri wangu ambao umesaidia watu wengi nakuomba ujichanje na wembe hadi vitoke vi-damu halafu chemsha maji yachemke haswaa kisha weka chumvi nyingi sana,koroga ili chumvi ishike vyema then weka kidole mule ndani.fanya hivyo japo mara 5 kwa siku muda wa wiki moja.kumbuka hili tatizo ukipuuza huwa linapindisha kidole au laweza kuchukua muda saoa kupona
 
Maji yachemke haswa then tia chumvi.weka kidole humo mpaka uhisi kama unaungua,toa kidole pindi ukihisi unaungua then kirudishe tena humo.waweza kuweka maji hayo kwenye kikombe au kibakuli.kumbuka kuweka chumvi nyingi
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
 
Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo
Aisee!! Kwa hii treatment wewe ni zaidi ya doctor, kwa hiyo wewe ulivyoweka kidole kwenye K huyo mdudu alitoka mwenyewe?
 
Back
Top Bottom