Yaani Tanzania ndo maana wawekezaji hutaka kuajiri watu wa nje kwa baadhi ya nafasi.
Kuna kazi imefanywa na wahandisi kama 2 wakishirikiana na mafundi wakawaida kadhaa kazi baada ya kukamilika kuifanyia test imeshindwa kufanya kazi kama inavyopaswa.
Imeniuma sana, ukizingatia
1.Hawa wahandisi ni waajiriwa wa serikali.
2.Gharama zilizotumika bila mafanikio.
3.Nilivyofuatilia hii si mara ya kwanza kuharibu kazi ya namna hiyo waliwahi kupata tenda katika taasisi nyingine ya serikali na machine ilifail baada ya wiki moja tu tangu ianze kufanya kazi.
4.Uzalendo hawana,wanaanfalia mkono kwenda kinywani tu kama hawawezi kwanini wasiseme hatuwezi ili tenda apewe mwingine?.
5.Wengine wana Masters .
6.Wamemaliza kazi madhine imegoma kufanya kazi wanaanza kutoa sababu bila aibu, kwanini hilo jambo hawajaligundua mapema kabla ya kuanza kazi.Mwendawazimu haoni mbele, na hawa maengeneer ni vichaa kamili natamani niwapige risasi ingekuwa sheria inatuhusu.