wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Katika utafiti kidogo nilioufanya nimeweza kugundua mengi kuhusu uvaaji wa pete hususani ya ndoa au ya uchumba kwenye kidole cha pili katika mkono wa kushoto yaani katika vidole vitano ukiacha kile kidogo ni kile kinachofuta.
Ni mara chache sana labda mhusika awe hana kidole hicho au hana mkono ndo waweza kuwa kavaa mkono wa kulia na kidole huwa ni hicho hicho na utafiti nikagundua sio pete tuu hata kama ukienda hospitali hata ukifanya kipimo cha damu doctor huchukua damu kidole hicho hicho.
Naomba kujuzwa ni kwanini hicho tuu kwani vile vingine havifai?