Recent content by Viva Tanganyika

  1. Viva Tanganyika

    PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

    Mh baba askofu kuna watu tunakutegemea,
  2. Viva Tanganyika

    Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

    Hata kabla sijamaliza nlielewa unaelekea wapi mbona ipo ki ushabiki sana haya ingempata mmoja ya viongozi Wa chadema pia ungesema mbowe kahusika asee hii nchii hii mazuzu mengi haya na yule jamaa Wa UDSM walo Sema ni jambazi asiyekua na siraha nini kipo nyuma ya pazia
  3. Viva Tanganyika

    CHADEMA wazungumza na Wanahabari kuhusu Mwanafunzi aliyeuawa na jinsi Mbowe anavyotafutwa na Polisi

    Jamani eti bila maandamano mauaji yasingetokea au bila Polisi kutumia risasi za moto mauaji yasingetokea kwani my friend aqulina alikua kwenye maandamano, u can't be serious embu sku nyingine fikiria vizuri ndo uandike. Mungu tuongoze
  4. Viva Tanganyika

    Maneno ya Sheikh wetu Mussa Alhad kwa huyu Mange hayako sawa

    Sheikh unazingua "anakua kama hajasoma dini bana kisa cha ummar kutukanwa huku mtume anacheka...... mafundisho tulopewa nkukaa kimya haijalishiii mtu anaongea nini kukaa kwako kimya Allah anakufanyia uwepesi....
  5. Viva Tanganyika

    Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    kwani hayaa mambwege yanapata go ahead toka kwa mbege I don't think he's not that smart.
  6. Viva Tanganyika

    Jamani jamani. Huyu wa wapi?

    Huku paswaa sema hivi muombe mungu akuepusha na kifo cha kidhalili Kama ivii. Hujui kesho Wala kesho akoo,...... U don't know
  7. Viva Tanganyika

    Angalia kazi ya vijana hawa wanajiita SOWETO KIDS

    Wapo vixurii ila wakaze maaana...... Ushindani n mkubwa
  8. Viva Tanganyika

    Hello wenyeji

    We Dada nmependa majibu yakoo, soo determined embu tena uko n miaka ngapiii vilee
  9. Viva Tanganyika

    Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

    #huna kipaji Mwalimu,kwani ushasahau ulishatusikilizisha izo nyimbo zako darasani tukaishia kucheka tu....amna chochote hujui hujui tu.
Back
Top Bottom